MASHABIKI WAMUUA MCHEZAJI ALGERIA
![](http://api.ning.com:80/files/Kqu4JOS-VwMiSkun2ECeWdul9WNrKBzThrX9xck7OA7xfhw0FN7Bv0*ZMClWdtA6MVZRfNoLHsB0uaFoP16GutcwPA-0qPV*/AlbertEbosse.jpg?width=650)
MCHEZAJI kutoka Cameroon amekufa baada ya kupigwa kichwani wakati mashabiki waliokereka waliporusha mawe mwisho wa mechi ya Ligi ya Algeria. Albert Ebosse enzi za uhai wake. Albert Ebosse, aliyekuwa na umri wa miaka 24, ndiye aliyefunga mabao mengi katika Ligi ya Algeria msimu uliopita. Alirushiwa kitu wakati mashabiki walipokerwa kuwa timu yake, JS Kabylie, iliposhindwa kwa mabao 2-1 katika mechi iliyochezwa nyumbani, Tizi...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili28 Jun
Mashabiki wa Algeria wazua vurugu
11 years ago
Mwananchi29 Jun
Mashabiki wawili wafa Algeria
10 years ago
BBCSwahili24 Aug
Mashabiki wamuuwa mcheza mpira Algeria
9 years ago
Dewji Blog03 Jan
Wenger athibitisha kusajili mchezaji ndani ya siku 10 zijazo, jina la mchezaji anayesajiliwa lipo hapa
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Vinara wa msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza, Arsenal wanatarajia kufanya usajili mpya katika kikosi chao ndani ya siku 10, kocha Arsene Wenger (pichani) kathibitisha.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Newcastle ambao Arsenal iliibuka na ushindi wa goli 1 kwa bila, Wenger alisema anategemea kusajili mchezaji mpya ndani ya siku 10 zinazokuja.
“Ninatumai ndani ya siku 10 zijazo tunaweza kufanya jambo,” Wenger aliwaambia waandishi...
9 years ago
MichuziMCHEZAJI WA STAND UNITED AKABIDHIWA KITITA CHAKE KWA KUIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*pR5HeeeEQZ571D6vdE3AeMZSOr2ErD*fcX2ydJj6TrAGWB-aY2*PdaOpI3lecklZzjPcU*7RbSgvEpb8vjX*rn/wamachinga.jpg)
WAMACHINGA WAMUUA ASKARI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rFFi-SX8PjU0FygypuVu-xo-9SE89znubflrnh4alojv1UHcZmQZsGPhZS0fQNCHEQty0KPPi1sGmAkTJ9iiB1nevO-jMlaE/denti.jpg)
MBWA WAMUUA DENTI, WAMLA
11 years ago
BBCSwahili06 Feb
Wanajeshi wamuua muasi wa Seleka CAR
11 years ago
Mwananchi24 Jun
Majambazi wamuua sista, wapora fedha