Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wenger athibitisha kusajili mchezaji ndani ya siku 10 zijazo, jina la mchezaji anayesajiliwa lipo hapa

Arsene 22

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Vinara wa msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza, Arsenal wanatarajia kufanya usajili mpya katika kikosi chao ndani ya siku 10, kocha Arsene Wenger (pichani) kathibitisha.

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Newcastle ambao Arsenal iliibuka na ushindi wa goli 1 kwa bila, Wenger alisema anategemea kusajili mchezaji mpya ndani ya siku 10 zinazokuja.

“Ninatumai ndani ya siku 10 zijazo tunaweza kufanya jambo,” Wenger aliwaambia waandishi...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MCHEZAJI WA STAND UNITED AKABIDHIWA KITITA CHAKE KWA KUIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA

Elias Maguli Mchezaji wa timu ya Stand United, amekabidhiwa hundi yake yenye thamani ya shilingi Milioni 1/= na wadhamni wakuu wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara(Vodacom Tanzania) kwa kuibuka mchezaji bora wa mwezi Oktoba wa Ligi hiyo.
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.Ofisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania,Ibrahim Kaude(kushoto)akimkabidhi Mchezaji...

 

10 years ago

Mwananchi

Chenge, Ngeleja, kuadhibiwa ndani ya siku 21 zijazo

Wenyeviti watatu wa Kamati za Bunge waliopendekezwa kuwajibishwa na Bunge hilo katika sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow wataondolewa katika nyadhifa zao ndani ya siku 21 zijazo, imeelezwa.

 

11 years ago

GPL

MCHEZAJI TENISI LI NA ASTAAFU

Li Na. MCHEZAJI wa kwanza wa tenisi nchini China kushinda mashindano ya Grand Slam, Li Na, amestaafu kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya muda mrefu. Li, mwenye umri wa miaka 32 ambaye ni staa namba 6 kwa mchezo huo duniani, alisema kuwa anaondoka katika mashindano ya tenisi kwa sababu ya majeraha ya muda mrefu, hasa kwenye magoti yake. Alishinda Grand Slams mara mbili - Frenc Open mwaka 2011 na Australian Open mwaka huu....

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Blac Chyna athibitisha kuwa na uhusiano na Future? Achora tattoo ya jina la rapper huyo mkononi

Kumekuwepo na tetesi kuwa mama wa mtoto wa rapper Tyga, Blac Chyna ameingia kwenye ukurasa mpya wa mapenzi na rapper Future ambaye pia ni baba wa mtoto wa mwimbaji wa RnB, Ciara ambaye waliachana. Blac Chyna ameziongezea nguvu tetesi hizo baada ya kuchora tattoo yenye jina la ‘Future’ kwenye mkono wake na kushare picha hiyo […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Tatizo la saratani ‘lipo ndani ya uwezo wetu’

roadddd

Tarehe 4 ya mwezi wa pili, inatukumbusha kwamba tunapaswa kupambana na ugonjwa wa saratani, ambao ni tatizo kubwa sana duniani kwa sasa. Mwaka huu, siku hii maalum imepangwa kufikia matokeo chanya juu ya vita dhidi ya saratani, kupitia kauli mbiu inayosisitiza kuwa ufumbuzi wakutokomeza saratani upo ndani ya uwezo wetu. Kampeni ya mwaka huu 2015, Siku ya Saratani Dunia inalenga katika kuchagua kudumisha maisha yenye afya, kutoa, upimaji kwa wakati, tiba kwa watu wote na kuongeza ubora wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mchezaji aliyemtongoza mwanahabari aadhibiwa

Nahodha wa zamani wa timu ya kriketi ya West Indies, Chris Gayle amepigwa faini baada yake kumtongoza mwanahabari wakati wa mahojiano ya moja kwa moja.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mchezaji avunja kanuni za kifalme

Mchezaji wa mpira wa vikapu LeBron James alivunja protokali au kanuni za maadili ya kifalme alipomshika mabegani Kate Middleton akiwa na majasho kwenye jezi lake

 

11 years ago

BBCSwahili

Mchezaji afariki baada ya kupigwa

Mchezaji wa soka raia wa Cameroon amefariki baada ya kupigwa katika kichwa nchini Algeria.

 

11 years ago

GPL

MCHEZAJI YANGA APIGWA PINGU...

Mshambuliaji wa Yanga, Shabani Kondo (kulia) akiwa ndani ya pingu. Na Sweetbert Lukonge
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Shabani Kondo, alionja joto ya jiwe jana baada ya kumkunja ofisa wa jeshi la polisi katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kisha kupelekwa kituo cha polisi. Kondo alikumbana na mkasa huo kufuatia kutaka kupigana na askari baada ya mchezo dhidi ya Mbeya City ambao uliishuhudia Yanga ikivunja rekodi ya Mbeya kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani