Chenge, Ngeleja, kuadhibiwa ndani ya siku 21 zijazo
Wenyeviti watatu wa Kamati za Bunge waliopendekezwa kuwajibishwa na Bunge hilo katika sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow wataondolewa katika nyadhifa zao ndani ya siku 21 zijazo, imeelezwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog03 Jan
Wenger athibitisha kusajili mchezaji ndani ya siku 10 zijazo, jina la mchezaji anayesajiliwa lipo hapa
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Vinara wa msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza, Arsenal wanatarajia kufanya usajili mpya katika kikosi chao ndani ya siku 10, kocha Arsene Wenger (pichani) kathibitisha.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Newcastle ambao Arsenal iliibuka na ushindi wa goli 1 kwa bila, Wenger alisema anategemea kusajili mchezaji mpya ndani ya siku 10 zinazokuja.
“Ninatumai ndani ya siku 10 zijazo tunaweza kufanya jambo,” Wenger aliwaambia waandishi...
10 years ago
Mwananchi22 Jan
Makinda: Siwatambui Chenge, Ngeleja
10 years ago
Mwananchi14 Jan
Ngeleja,Chenge wapelekwa Maadili
10 years ago
Mwananchi18 Jan
Wiki ngumu kwa Ngeleja, Chenge
10 years ago
Mtanzania24 Jan
Spika awaandikia barua Chenge, Ngeleja
![Anne Makinda](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/06/anne-makinda-300x225.jpg)
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda
NA AGATHA CHARLES
KUTOKANA na kile kilichoonekana kama kugoma kufanya uchaguzi wa wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Bunge ambazo wenyeviti wao wamehusishwa na fedha za Escrow kwa kutaka kwanza mwongozo wa Spika, Kamati hizo zimeagizwa kufanya uchaguzi huo kabla ya kuanza Mkutano wa Bunge Jumanne wiki ijayo.
Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu jana, Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashilillah, alisema tayari hadi jana Spika wa...
10 years ago
Mtanzania19 Jan
Chenge, Tibaijuka, Ngeleja kikaangoni leo
Fredy Azzah na Shabani Matutu, Dar es Salaam
KAMATI Ndogo ya Maadili ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), chini ya Mwenyekiti wake Philip Mangula, leo inawahoji makada wa chama hicho waliopokea mgawo wa fedha za Escrow.
Makada ambao watawekwa kikaangoni kutokana na kupokea mgawo huo, ni aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba, Sheria na Utawala, Wiliam Ngeleja na Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Andrew Chenge.
Uamuzi huo...
10 years ago
Habarileo22 Jan
Chenge na Ngeleja waachia vyeo bungeni
WENYEVITI wa Kamati za Kudumu za Bunge, waliopendekezwa kuwajibishwa na Bunge hilo katika sakata la Akaunti ya Tegeta Escrow, wamejiuzulu nyadhifa zao.
10 years ago
TheCitizen30 Dec
Prosecute Chenge, Ngeleja over escrow saga: activists
10 years ago
Mwananchi17 Jan
Kamati za Bunge zawagwaya kina Chenge, Ngeleja