Tatizo la saratani ‘lipo ndani ya uwezo wetu’
Tarehe 4 ya mwezi wa pili, inatukumbusha kwamba tunapaswa kupambana na ugonjwa wa saratani, ambao ni tatizo kubwa sana duniani kwa sasa. Mwaka huu, siku hii maalum imepangwa kufikia matokeo chanya juu ya vita dhidi ya saratani, kupitia kauli mbiu inayosisitiza kuwa ufumbuzi wakutokomeza saratani upo ndani ya uwezo wetu. Kampeni ya mwaka huu 2015, Siku ya Saratani Dunia inalenga katika kuchagua kudumisha maisha yenye afya, kutoa, upimaji kwa wakati, tiba kwa watu wote na kuongeza ubora wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima28 Jan
Tatizo la ukatili wa kijinsia bado lipo
HIVI karibuni vyombo vya habari vimeripoti vitendo vya uka tili wa kijinsia mkoani Kagera kuongezeka. Taarifa hiyo iliyotolewa na Jeshi la Polisi ilieleza kuwa ukatili wa kijinsia umeongezeka kutoka matukio...
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
9 years ago
Dewji Blog03 Jan
Wenger athibitisha kusajili mchezaji ndani ya siku 10 zijazo, jina la mchezaji anayesajiliwa lipo hapa
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Vinara wa msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza, Arsenal wanatarajia kufanya usajili mpya katika kikosi chao ndani ya siku 10, kocha Arsene Wenger (pichani) kathibitisha.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Newcastle ambao Arsenal iliibuka na ushindi wa goli 1 kwa bila, Wenger alisema anategemea kusajili mchezaji mpya ndani ya siku 10 zinazokuja.
“Ninatumai ndani ya siku 10 zijazo tunaweza kufanya jambo,” Wenger aliwaambia waandishi...
10 years ago
Mwananchi02 Feb
Nini tatizo kwa viungo wachezeshaji? uwezo mdogo wa kutegeneza pasi za goli
10 years ago
Tanzania Daima27 Sep
Mgimwa: Aibu watoto wetu kufanya kazi za ndani
MBUNGE wa Kalenga mkoani Iringa Godfrey Mgimwa amewataka wazazi kuacha tabia ya kuwapeleka watoto wao waliohitimu darasa la saba kufanya kazi za ndani mijini kwa kuwa ni aibu kwa wakazi...
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
Tatizo ni kubwa ndani ya Jeshi la Polisi
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam wiki iliyopita limewafukuza kazi askari wake wanne kwa makosa ya utovu wa nidhamu, ikiwemo kujihusisha na vitendo vya ujambazi. Kwa mujibu...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/kpD37olj0H1tCWG3eGUUXf3vlfWmkgIubRtH87wQEHjKAzD386FHOVoQggJX442SwTwMCcRP4*rqP25Jak-gjtyYiRB03wlc/tumbowanawake.jpg?width=650)
TATIZO LA ENDOMETRIOSIS (HITILAFU NDANI YA KIZAZI)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n9CkP9pTfMOeNs6MZSeDXJQzj*k*Kakxp51DeBh-BfdJc2CZoe45-VV5iudHJKdKoYy6s8VUYf6tiAI11qfOc7bbgbHFb1lD/BACKAMANI.jpg?width=650)
AIBU ILIYOJE! MUME WA MTU ANASWA NDANI YA DANGURO NA WAANDISHI WETU
9 years ago
Vijimambo20 Aug
JANET SOSTHENES MWENDA NA UJIO MPYA WA 'TUWALINDE WATOTO WETU' NDANI YA CLOUDS TV
![mwenda](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/08/mwenda.jpg)
![Mmiliki-na-Mweneshaji-wa-kipindi-cha-Ongea-na-Janet-Bi.-Janet-Sosthenes-Mwenda.](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/08/Mmiliki-na-Mweneshaji-wa-kipindi-cha-Ongea-na-Janet-Bi.-Janet-Sosthenes-Mwenda..jpg)
“..KAA TAYARI KWA UJIO WA KIPINDI HIKI KIPYA, UNGANA NA JANET KUWALINDA WATOTO WETU!”
![Dada Janet Sosthenes Mwenda wa Ongea na Janet akicheza mpira na watoto.](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/08/Dada-Janet-Sosthenes-Mwenda-wa-Ongea-na-Janet-akicheza-mpira-na-watoto..jpg)