JANET SOSTHENES MWENDA NA UJIO MPYA WA 'TUWALINDE WATOTO WETU' NDANI YA CLOUDS TV
Pichani: Bi. Janet Sosthenes Mwenda
Janet MwendaJanet Sosthenes Mwenda ni Mmiliki na Mweneshaji wa kipindi cha 'Ongea na Janet Tv Show' ni mwanahabari mwenye taaluma ya Utangazaji na uandaaji wa vipindi mbalimbali kupitia vipindi mbalimbali vya Radio na Tv huku akiwa ni miongoni mwa watangazaji waliojizolea umaarufu mkubwa kutokana na vipindi vyake vya tv na radio kwa muda mrefu sasa.
“..KAA TAYARI KWA UJIO WA KIPINDI HIKI KIPYA, UNGANA NA JANET KUWALINDA WATOTO WETU!”Jenet akicheza mpira na...
Vijimambo