MCHEZAJI TENISI LI NA ASTAAFU
![](http://api.ning.com:80/files/1VJR9F-zilpHD8fCwMjI1gG8*ChWU4LWkrW2xsJ*xxYmOLkz2QgE1vHjEx4VYpBtZO8UuMZ2C4TBVl1SXepk60q2gQh94WSs/LI.jpg)
Li Na. MCHEZAJI wa kwanza wa tenisi nchini China kushinda mashindano ya Grand Slam, Li Na, amestaafu kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya muda mrefu. Li, mwenye umri wa miaka 32 ambaye ni staa namba 6 kwa mchezo huo duniani, alisema kuwa anaondoka katika mashindano ya tenisi kwa sababu ya majeraha ya muda mrefu, hasa kwenye magoti yake. Alishinda Grand Slams mara mbili - Frenc Open mwaka 2011 na Australian Open mwaka huu....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili19 Sep
9 years ago
Dewji Blog03 Jan
Wenger athibitisha kusajili mchezaji ndani ya siku 10 zijazo, jina la mchezaji anayesajiliwa lipo hapa
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Vinara wa msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza, Arsenal wanatarajia kufanya usajili mpya katika kikosi chao ndani ya siku 10, kocha Arsene Wenger (pichani) kathibitisha.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Newcastle ambao Arsenal iliibuka na ushindi wa goli 1 kwa bila, Wenger alisema anategemea kusajili mchezaji mpya ndani ya siku 10 zinazokuja.
“Ninatumai ndani ya siku 10 zijazo tunaweza kufanya jambo,” Wenger aliwaambia waandishi...
9 years ago
MichuziMCHEZAJI WA STAND UNITED AKABIDHIWA KITITA CHAKE KWA KUIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI OKTOBA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA
Mchezaji huyo alikabidhiwa hundi hiyo wakati wa mazoezi yaliyokuwa yanafanywa na timu yake katika viwanja vya JKM Park ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho.
9 years ago
BBCSwahili28 Sep
Nahodha wa SpringBoks astaafu
10 years ago
BBCSwahili30 May
Rio Ferdinand astaafu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
DCI MNGULU ASTAAFU
10 years ago
Habarileo20 Sep
CAG Utouh astaafu
ALIYEKUWA Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh ameagwa rasmi baada ya kustaafu wadhifa huo alioutumikia kwa miaka minane huku akilishukuru Bunge kwa kumpa ushirikiano wakati wa utumishi wake.
10 years ago
Raia Tanzania10 Jul
Ukata waikumba tenisi
TIMU ya Taifa ya Tenisi Walemavu imewaomba wadau mbalimbali kuwasaidia kiasi cha Dola za Marekani 1500 kwa ajili ya kushiriki michuano ya wazi ya Kenya (Kenya Open) inayotarajia kufanyika mwezi huu nchini humo.
Akizungumza na gazeti hili jana, Kocha wa timu hiyo Riziki Salum alisema wanataka kushiriki michuano hiyo ili waweze kutetea ubingwa wao walioupata mwaka jana.
Salum alisema mashindano hayo yatakuwa ya wiki moja na wanatakiwa kujigharamia kwa kila kitu kwa muda wote...
9 years ago
BBCSwahili24 Dec
Robin Soderling astaafu tenesi