Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Robin Soderling astaafu tenesi

Aliyewahi kuwa mcheza Tenesi namba nne duniani Robin Soderling ameamua kustaafu rasmi mchezo huo baada ya kuugua homa ya tezi .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Fainali za tenesi zapigwa Tanzania

Michuano ya kimataifa ya tenesi kwa kanda ya Afrika kwa vijana wa chini ya miaka 16 yamefikia hatua ya fainali .

 

9 years ago

BBCSwahili

Martina , Sania mabingwa wa tenesi

Martina Hingis na Sania Mirza, wametwaa ubingwa wa michuano ya wazi ya Us Open

 

10 years ago

BBCSwahili

Nyota wa tenesi watinga robo fainali

Nyota wa tenesi Roger federer, Rafael Nadal na Novack Djockovic wametinga hatua ya robo fainali ya michuano ya wazi .

 

9 years ago

Bongo5

Serena Williams atangaza kupumzika kucheza tenesi kwa mwaka mzima

Mcheza tenesi namba moja kwa ubora duniani kwa upande wa wanawake, Serena Williams atapumzika kucheza mchezo huo kwa mwaka mzima kutoka na kuwa na majeraha. Mshindi huyo wa Grand Slam 21 alitolewa kwenye michuano ya wazi ya Wuhan ,Williams mwenye miaka 34 amesema” nimecheza nikiwa na maumivu kwa muda wa mwaka mzima,” Nyota huyo wa […]

 

11 years ago

Michuzi

BURIANI ROBIN WILLIAMS


Mcheza sinema na mchekeshaji maarufu duniani aliyepata kushinda tuzo ya Oscar Robin Williams amefariki dunia katika kifo kinachoshukiwa ni cha kujiua mwwenyewe. Alikuwa na umri wa miaka 63.

 

Kwa mujibu wa polisi wa Marin huko Calofornia, Marehemu Williams alikutwa hana fahamu huku akiwa hapumui majira ya saa sita za mchana Jumatatu nyumbani kwake Tiburon, kufuatia simu ya dharura iliyopigwa polisi hapo. Alitangazwa amefariki dunia saa sita na dakika mbili baada ya wahudumu wa huduma za...

 

10 years ago

BBCSwahili

Li Na astaafu tenisi

Mchezaji nambari moja wa Tennis nchini China LI Na amestaafu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani