Ukata waikumba tenisi
TIMU ya Taifa ya Tenisi Walemavu imewaomba wadau mbalimbali kuwasaidia kiasi cha Dola za Marekani 1500 kwa ajili ya kushiriki michuano ya wazi ya Kenya (Kenya Open) inayotarajia kufanyika mwezi huu nchini humo.
Akizungumza na gazeti hili jana, Kocha wa timu hiyo Riziki Salum alisema wanataka kushiriki michuano hiyo ili waweze kutetea ubingwa wao walioupata mwaka jana.
Salum alisema mashindano hayo yatakuwa ya wiki moja na wanatakiwa kujigharamia kwa kila kitu kwa muda wote...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Ukata wa fedha waikumba TCDF
11 years ago
Mwananchi14 Feb
Timu Taifa Tenisi walia ukata
9 years ago
Mtanzania28 Dec
Uhaba wa damu waikumba Mount Meru
Na Mwandishi Wetu, Arusha
HOSPITALI ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru, inakabiliwa na upungufu mkubwa wa damu salama kwa ajili ya kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji damu hospitalini hapo.
Kauli hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na Mganga Mkuu wa Hospital ya Mkoa wa Arusha, Dk. Frida Mokiti, alipokuwa akizungumza katika kikao cha Kamati ya Maafa ya Mkoa, ambapo alisema hospitali hiyo inahitaji uniti 1560 za damu salama, waka akiba ya damu salama iliyopo ni uniti 40 .
Kutokana na upungufu...
10 years ago
BBCSwahili19 Sep
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1VJR9F-zilpHD8fCwMjI1gG8*ChWU4LWkrW2xsJ*xxYmOLkz2QgE1vHjEx4VYpBtZO8UuMZ2C4TBVl1SXepk60q2gQh94WSs/LI.jpg)
MCHEZAJI TENISI LI NA ASTAAFU
9 years ago
Habarileo15 Oct
Tenisi walemavu waomba msaada
TIMU ya taifa ya tenisi kwa upande wa walemavu, imewataka wadau mbalimbali kuwaunga mkono na kuwasaidia vifaa vya michezo waweze kutimiza malengo yao ya kufanya vizuri katika michuano mbalimbali.
5 years ago
BBCSwahili18 Jun
Michuano ya tenisi kuanza Agosti 31
10 years ago
BBCSwahili22 Jun
Wachezaji wa tenisi wawasili Tanzania
11 years ago
Mwananchi28 Jan
ITF yaibeba tenisi ya Tanzania