Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukata wa fedha waikumba TCDF

Mfuko wa Maendeleo ya Kahawa Tanzania (TCDF) unakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa fedha ili kuuwezesha kutekeleza majukumu yake 14.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Ukata waikumba tenisi

TIMU ya  Taifa ya  Tenisi Walemavu imewaomba wadau mbalimbali kuwasaidia kiasi cha  Dola za Marekani 1500 kwa ajili ya kushiriki michuano ya wazi ya Kenya (Kenya Open) inayotarajia kufanyika mwezi huu nchini humo.

Akizungumza na gazeti hili jana, Kocha wa timu hiyo Riziki Salum alisema wanataka kushiriki michuano hiyo ili waweze kutetea ubingwa wao walioupata mwaka jana.

Salum alisema mashindano hayo yatakuwa  ya wiki moja na wanatakiwa kujigharamia  kwa kila kitu kwa muda wote...

 

9 years ago

Mtanzania

Uhaba wa damu waikumba Mount Meru

blood20Na Mwandishi Wetu, Arusha

HOSPITALI ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru, inakabiliwa na upungufu mkubwa wa damu salama  kwa ajili ya kuokoa maisha ya wagonjwa wanaohitaji  damu hospitalini hapo.

Kauli hiyo ilitolewa mwishoni mwa wiki na Mganga Mkuu wa Hospital ya Mkoa wa Arusha, Dk. Frida Mokiti,  alipokuwa akizungumza katika kikao cha Kamati ya Maafa  ya Mkoa, ambapo alisema hospitali hiyo inahitaji uniti 1560 za damu salama, waka  akiba ya damu salama iliyopo ni uniti 40 .

Kutokana na upungufu...

 

5 years ago

Michuzi

KUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO



 
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana. 
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...

 

9 years ago

Mwananchi

Nyota wa Simba walia ukata

Baada ya mazoezi ya wiki nzima visiwani Zanzibar kujiandaa na mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Azam Jumamosi, kikosi cha Simba kinakabiliwa na mambo mengi yanayotakiwa kufanyiwa kazi ili timu ifanikiwe.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukata tatizo Taifa Queens

Ukata umeiondoa timu ya taifa ya netiboli (Taifa Queens) kushiriki kwenye mashindano ya Afrika ya kutafuta tiketi ya kucheza Kombe la Dunia la netiboli mwakani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tunda Man: Ukata ni tatizo

MSANII wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’, amesema kinachomfanya ashindwe kufanya mambo makubwa kwenye muziki ni ukata wa pesa. Akizungumza jijini Dar es...

 

10 years ago

CloudsFM

11 years ago

GPL

UKATA WAKWAMISHA KAZI ZA DUDE

Na Gladness Mallya
HALI ya uchumi ya mwigizaji Kulwa Kikumba ‘Dude’ imemkwamisha mwigizaji huyo ashindwe kurekodi tamthiliya yake. Kulwa Kikumba ‘Dude’. Akizungumza na paparazi wetu, Dude alikiri kuwa uchumi umemkalia vibaya ambapo aliruhusiwa kupewa muda wa hewani katika Runinga ya East Africa lakini akashindwa kushuti kutokana na majukumu ya kifamilia kumuandama. “Daa we acha tu, mwezi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ukata waitesa riadha Mara

Timu ya riadha ya mkoa wa Mara huenda ikajitoa kushiriki kwenye mashindano ya taifa ya riadha yatakayofanyika Jumamosi na Jumapili jijini Dar es Salaam kutokana na kukosa Sh4 milioni za kufanikisha ushiriki wao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani