UKATA WAKWAMISHA KAZI ZA DUDE
![](http://api.ning.com:80/files/sGeqV*sT8d0MTn6eAg9vaoNxw2vPXsBfaG3GR5WtDqb7df2ZdpLx5o3fWIhGbGn2v1Bt0h9w64eAsJXYh28fV1057iP3qTGA/dude.jpg?width=650)
Na Gladness Mallya HALI ya uchumi ya mwigizaji Kulwa Kikumba ‘Dude’ imemkwamisha mwigizaji huyo ashindwe kurekodi tamthiliya yake. Kulwa Kikumba ‘Dude’. Akizungumza na paparazi wetu, Dude alikiri kuwa uchumi umemkalia vibaya ambapo aliruhusiwa kupewa muda wa hewani katika Runinga ya East Africa lakini akashindwa kushuti kutokana na majukumu ya kifamilia kumuandama. “Daa we acha tu, mwezi wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania13 Aug
Ukata wakwamisha Tume ya Operesheni Tokomeza
![Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu, Balozi Ombeni Sefue](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Ombeni-Sefue.jpg)
Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu, Balozi Ombeni Sefue
NA MICHAEL SARUNGI
TUME iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete kwa ajili ya kuchunguza madhara yaliyotokea katika Operesheni Tokomeza Ujangili, hadi sasa inadaiwa haijaanza kazi kutokana na madai ya kutopatiwa fedha, MTANZANIA limebaini.
Uchunguzi uliofanywa na MTANZANIA, umebaini kuwa tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti wake Jaji Mstaafu Hamisi Msumi haijaanza kazi .
Akizungumzia kutofanya kazi kwa tume hiyo, Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu, Balozi...
11 years ago
Habarileo17 Jan
Ukata wakwamisha ujenzi kituo kikuu cha mabasi Dar
UKATA wa fedha unadaiwa kukwamisha ujenzi wa kituo kikuu kipya cha mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi, katika eneo la Mbezi Louis wilayani Kinondoni. Kutokana na ukata huo, Kituo Kikuu cha Mabasi cha Ubungo (UBT) kimeendelea kutoa huduma eneo la Ubungo, licha ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuamuriwa mwaka jana, ihakikishe kinahamia ama Mbezi Louis au Boko Wasa.
9 years ago
Mtanzania20 Aug
Dude: Mwanaume achagui kazi
Na George Kayala
MWIGIZAJI, Kulwa Kikumba ‘Dude’, amewataka wanaume kutochagua cha kufanya ili wapate kipato kitakachowawezesha kuendesha familia zao bila usumbufu.
“Nilifanikiwa kuiona filamu ya ‘Yote Njaa’ ina somo kwa wanaume wanaochagua kazi wakati kuna kazi nyingi za kujishughulisha hivyo hakuna sababu ya kuchagua kazi,” alisema Dude
10 years ago
Raia Tanzania10 Jul
Ukata waikumba tenisi
TIMU ya Taifa ya Tenisi Walemavu imewaomba wadau mbalimbali kuwasaidia kiasi cha Dola za Marekani 1500 kwa ajili ya kushiriki michuano ya wazi ya Kenya (Kenya Open) inayotarajia kufanyika mwezi huu nchini humo.
Akizungumza na gazeti hili jana, Kocha wa timu hiyo Riziki Salum alisema wanataka kushiriki michuano hiyo ili waweze kutetea ubingwa wao walioupata mwaka jana.
Salum alisema mashindano hayo yatakuwa ya wiki moja na wanatakiwa kujigharamia kwa kila kitu kwa muda wote...
10 years ago
CloudsFM24 Feb
Ukata yaimaliza Klabu ya Simba
Klabu ya soka ya Simba imekuwa ikifanya vibaya kwenye mechi zake za hivi karibuni katika mechi zake za ligi kuu ya Vodacom ambapo habari kutoka ndani ya klabu hiyo zinasema kuwa sababu ya kufanya vibaya kwa timu hiyo ni kutokana na ukata mkubwa ulioikumba klabu hiyo. Chanzo cha ndani kutoka kwenye Klabu hiyo kinasema kuwa kumekuwa na mgogoro ndani kwa ndani ya viongozi kwenye timu hiyo na inadaiwa kuwa wachezaji hawajalipwa mishahara yao na matatizo mengine mengi.
‘’Kiukweli klabu hii...
10 years ago
CloudsFM24 Feb
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Nyota wa Simba walia ukata
9 years ago
Mwananchi07 Oct
Ukata wamkwamisha Afande Sele
10 years ago
Mwananchi13 Sep
Ukata tatizo Taifa Queens