Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukata yaimaliza Klabu ya Simba

Klabu ya soka ya Simba imekuwa ikifanya vibaya kwenye mechi zake za hivi karibuni katika mechi zake za ligi kuu ya Vodacom ambapo habari kutoka ndani ya klabu hiyo zinasema kuwa sababu ya kufanya vibaya kwa timu hiyo ni kutokana na ukata mkubwa ulioikumba klabu hiyo. Chanzo cha ndani kutoka kwenye Klabu hiyo kinasema kuwa kumekuwa na mgogoro ndani kwa ndani ya viongozi kwenye timu hiyo na inadaiwa kuwa wachezaji hawajalipwa mishahara yao na matatizo mengine mengi.
‘’Kiukweli klabu hii...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

9 years ago

Mwananchi

Nyota wa Simba walia ukata

Baada ya mazoezi ya wiki nzima visiwani Zanzibar kujiandaa na mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Azam Jumamosi, kikosi cha Simba kinakabiliwa na mambo mengi yanayotakiwa kufanyiwa kazi ili timu ifanikiwe.

 

10 years ago

Dewji Blog

Klabu ya Simba yashirikiana na Tigo Tanzania kuzindua huduma ya Simba news

4

Meneja Mawasiliano ya Biashara wa Tigo Jacqueline Nnunduma, (kushoto) akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa huduma ya Simba News uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Rais wa Simba Evans Aveva na kushoto ni Mkurugenzi wa EAG Group LTD, Iman Kajula ambaye ni Mshauri wa kutekeleza shughuli za Kibiashara na Masoko katika Klabu ya Simba.

3

Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa huduma ya...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya headlines za bilionea wa 24 Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, hii ndio kauli rasmi ya Simba …

Baada ya stori nyingi kuingia katika headlines kwa siku za hivi karibuni kuhusu uamuzi wa moja kati ya mabilionea wa Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, mengi yameandikwa na mengi yameongewa, najua unahitaji kufahamu kuhusu stori za bilionea Mohamed Dewji ambaye maarufu kama MO kuweka bayana dhamira yake ya kutaka kuinunua Simba kupitia kipindi cha […]

The post Baada ya headlines za bilionea wa 24 Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, hii ndio kauli rasmi ya Simba … appeared first on...

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI KATIKA UCHAGUZI WA KLABU YA SIMBA LEO

Wagombea wa nafasi ya Urais katika Klabu ya Simba, Evans Aveva (katikati) na Andrew Tupa na wakipiga kura wakati wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa klabu hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam.  Hassan Dalali akipiga kura.
 Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu na Rais wa Simba anayemaliza muda wake, Ismail Aden Rage wakipiga kura.
 Rais wa Simba aliyemaliza muda wake, Ismail Aden Rage akiagana na mgombea wa Urais wa Simba, Evans Aveva (katikati).
 Wagombea wakitafakari.
PICHA ZAIDI YA TUKIO...

 

9 years ago

Bongo5

Mohammed Dewji anataka kuinunua klabu ya Simba, kuwekeza bilioni 20

Mfanyabiashara mkubwa nchini, Mohammed Dewji ameweka wazi mpango wake wa kuinunua klabu ya Simba inayoshiriki ligi kuu ya Tanzania Bara. Akizungumza na kipindi cha Mkasi TV kinachoruka kupitia EATV, Dewji alisema tayari wapo kwenye mazungumzo na rais wa klabu hiyo ili kukamilisha mpango huo. “Unajua kila mtu ana interest, hakuna interest ya klabu, mimi nimeona […]

 

9 years ago

GPL

CCM YAIMALIZA UKAWA CHINICHINI

Mwandishi Wetu WAKATI vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ukiwa bize kumtambulisha mgombea wake wa urais, Edward Lowassa kwa mbwembwe mikoani, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinadaiwa kujipanga kimyakimya huku kikitekeleza mikakati yake chinichini, Risasi Mchanganyiko limeambiwa.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1E4tvaV

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani