CCM YAIMALIZA UKAWA CHINICHINI
![](http://api.ning.com:80/files/NEbifnOqun2ZN3wZXZbfKecBZwWdfFctGxsn2g4*z27aXgyo1MaUI6SXraOR5r46MJ0f1yzDd4GtPizC691oHezKlE9B46vo/CCM.gif?width=650)
Mwandishi Wetu WAKATI vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ukiwa bize kumtambulisha mgombea wake wa urais, Edward Lowassa kwa mbwembwe mikoani, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinadaiwa kujipanga kimyakimya huku kikitekeleza mikakati yake chinichini, Risasi Mchanganyiko limeambiwa. Â ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1E4tvaV
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM24 Feb
Ukata yaimaliza Klabu ya Simba
Klabu ya soka ya Simba imekuwa ikifanya vibaya kwenye mechi zake za hivi karibuni katika mechi zake za ligi kuu ya Vodacom ambapo habari kutoka ndani ya klabu hiyo zinasema kuwa sababu ya kufanya vibaya kwa timu hiyo ni kutokana na ukata mkubwa ulioikumba klabu hiyo. Chanzo cha ndani kutoka kwenye Klabu hiyo kinasema kuwa kumekuwa na mgogoro ndani kwa ndani ya viongozi kwenye timu hiyo na inadaiwa kuwa wachezaji hawajalipwa mishahara yao na matatizo mengine mengi.
‘’Kiukweli klabu hii...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JnNsxgX9lA2xo4zwDjNQFun3BNKjBEZB2I2IC1b4LKunhjtu-gB3SDCmzPsVatnmo0Dd3Wj9tIw9rywWfj6WZvcUbzAeAEMD/dokii.jpg)
LAANA YA KANUMBA YAIMALIZA BONGO MUVI
9 years ago
Mtanzania26 Oct
CCM yailaumu Ukawa
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimelalamikia kitendo cha Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia, kusema watatangaza matokeo yao na kuwaamuru vijana wao waingie barabarani kushangilia.
Chama hicho kilisema kauli hizo zinazotolewa na viongozi hao wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ni za hatari kwa amani na usalama wa nchi na ujenzi wa demokrasia na inashangazwa ni kwanini...
10 years ago
Mwananchi12 Aug
CCM, Ukawa gumzo
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
UKAWA yaikwamisha CCM
JITIHADA za Chama Cha Mapinduzi (CCM) za kutaka kurekebisha kanuni za Bunge Maalumu la Katiba, ili kutumia wingi wake kupitisha ibara na sura za rasimu ya katiba kwenye kamati zimegonga...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
UKAWA, CCM wakwama
MAZUNGUMZO yanayoendelea kuhusu jinsi ya kunasua mchakato wa katiba mpya kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), yanaelekea kukwama kwa sababu yameingiliwa...
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Tuwalaumu UKAWA au CCM?
NI takriban mwezi mmoja umesalia kabla ya Bunge Maalumu la Katiba kuanza vikao vyake mkoani Dodoma. Uhai wa Bunge hilo upo mikononi mwa wajumbe na viongozi wa Umoja wa Katiba...
11 years ago
Habarileo07 May
CCM waivimbia Ukawa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetangaza kwamba hakina mpango wa kushawishi viongozi wa Serikali au viongozi wa kitaifa, wawalazimishe au wawabembeleze wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kurudi bungeni.
9 years ago
TheCitizen20 Sep
CCM desperate : Ukawa