Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LAANA YA KANUMBA YAIMALIZA BONGO MUVI

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
IMEVUJA! Kuvunjika kwa Kundi la Bongo Movie Unity kumedaiwa kuwa ni laana ya aliyekuwa memba hai wa kundi hilo, marehemu Steven Kanumba kutokana na kumnyanyapaa enzi za uhai wake, Ijumaa linakupa mchapo kamili. Marehemu Kanumba. TUJIUNGE NA CHANZO
Kwa mujibu wa chanzo makini, Kanumba alikuwa ni miongoni mwa waasisi wa kundi hilo lakini kabla hajafa, yaliibuka majungu ambayo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

BATULI: Kanumba kama kaacha laana kwenye filamu za bongo

BATULI 2NA FESTO POLEA

APRILI 7 mwaka 2012 tasnia ya filamu ilipatwa na majonzi makubwa kutokana na kifo cha aliyekuwa mwigizaji nguli, Steven Kanumba, ambaye alikuwa kipenzi cha wengi ndani na nje ya nchi.
Licha ya wengi kutokuamini kwa muda huo, baada ya muda ikagundulika kweli amefariki, hivyo majonzi zaidi yakarindima, huku kila mtu akisema lake kuhusu kifo hicho.
Baada ya mazishi yake mashabiki walijipa matumaini kwamba tasnia hiyo licha ya kumpoteza mwigizaji huyo ingeendelea vema kutokana na...

 

11 years ago

GPL

TUNDAMAN, SNURA, BONGO MUVI WAFUNIKA KANUMBA DAY

Msanii wa kundi la Tip Top Connection Khalid Ramadhan 'Tundaman' akiwapagawisha mashabiki katika Kanumba Day. Snura Mushi 'Mamaa Majanga' akifanya yake stejini usiku huu ndani ya Dar Live.…

 

10 years ago

GPL

BABA: MAMA KANUMBA ANA LAANA

Stori: Laurent Samatta/Risasi
BABA wa marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba amemchana mzazi mwenzake, Flora Mtegoa kuwa anateswa na laana na ndiyo maana hafanikiwi. Baba wa marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba. Mzee huyo alisema mama Kanumba ameshindwa kufanikiwa katika mambo mengi likiwemo suala la kuendeleza ofisi ya marehemu kutokana na kushindwa kumshirikisha yeye kama baba na ndiyo maana amepata laana....

 

11 years ago

GPL

BONGO MUVI KIMENUKA

Na Hamida Hassan
BONGO Muvi kimenuka! Viongozi wapya wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ (mwenyekiti) na William Mtitu (katibu), wametofautiana kauli na kuanza kurushiana maneno mazito wakitaka kukunjana mbele ya wajumbe wa klabu hiyo. Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Chanzo makini kilitonya kuwa, kilichosababisha kuibuka kwa ugomvi huo ni baada ya...

 

10 years ago

GPL

BONGO MUVI WACHAFUKA!

Na: Gladness Mallya na Imelda Mtema
JAMBO limezua jambo! Baada ya hivi karibuni wasanii wa Bongo Muvi (Movie) kufanya dua kwa ajili ya wenzao waliofariki dunia, baadhi ya ndugu wa marehemu wamecharuka na kudai kuwa waandaaji wa kisomo hicho walifanya kwa manufaa yao binafsi. Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ . Kwa mujibu wa chanzo makini, baadhi ya ndugu wa marehemu wanalalamika kuwa...

 

11 years ago

GPL

BONGO MUVI KUNA MASHOGA!

IMEBAINIKA kuwa ndani ya tasnia ya filamu Bongo kuna baadhi ya wasanii wanaofanya mapenzi ya jinsia moja yaani mashoga, Risasi Mchanganyiko limenyetishwa. Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Hilo limeibuka ikiwa ni siku chache baada ya Rais wa Uganda, Yoweri Museven, kupitisha sheria nchini mwake ya kupiga marufuku mavazi yasiyo na staha, uvunjifu wa maadili na mapenzi ya jinsia moja.
...

 

11 years ago

GPL

MISS BONGO MUVI KUSAKWA

Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere. Stori: Hamida Hassan
MWENYEKITI wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Nyerere’ amesema watafanya shindano la kumsaka mlimbwende wa kundi lao, siku ya sherehe ya kuadhimisha miaka mitatu ya klabu hiyo ambayo itafanyika Machi 28, mwaka huu. Akizungumza na Stori Mix, Nyerere alisema, wana imani ndani ya kundi lao kuna walimbwende wengi hivyo wametoa nafasi ya kuwashindanisha...

 

11 years ago

GPL

MTANDAO WA NGONO BONGO MUVI

Na Waandishi Wetu
NDANI ya klabu ya mastaa wa sinema za Kibongo, Bongo Movie Unity (au Bongo Muvi), kumetibuka upya baada ya mwenyekiti na kiongozi mpya wa kundi hilo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ kuanika makubwa na mazito juu ya uchafu, ufuska na mtandao nzima wa ‘kushea’ wapenzi miongoni mwao, aya zinazofuata zitakupa mwanga. Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ Akiwa amezungukwa na jopo...

 

10 years ago

GPL

CATHY: BONGO MUVI INAKUFA

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu ambaye pia ni mweka hazina msaidizi wa klabu ya Bongo Movie Unity, Sabrina Rupia ‘Cathy’ amefunguka kwamba anaona kundi hilo linakwenda kufa na halitakuwepo kabisa kutokana na kujiuzulu kwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Msanii wa filamu Bongo Movie Unity, Sabrina Rupia ‘Cathy’. Akistorisha na paparazi wetu, Cathy alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani