Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA MBALIMBALI KATIKA UCHAGUZI WA KLABU YA SIMBA LEO

Wagombea wa nafasi ya Urais katika Klabu ya Simba, Evans Aveva (katikati) na Andrew Tupa na wakipiga kura wakati wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa klabu hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam.  Hassan Dalali akipiga kura.
 Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu na Rais wa Simba anayemaliza muda wake, Ismail Aden Rage wakipiga kura.
 Rais wa Simba aliyemaliza muda wake, Ismail Aden Rage akiagana na mgombea wa Urais wa Simba, Evans Aveva (katikati).
 Wagombea wakitafakari.
PICHA ZAIDI YA TUKIO...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI LEO KATIKA UJENZI WA TAIFA, KIBAHA MKOANI PWANI

  Wazee wa kazi wakiwa katika kazi ya ujenzi wa Taifa (a.k.a Zege halilali) leo walipo naswa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa Kibaha Mkoani Pwani.Wanamama ambaye jina lake halikupatikana mara moja akiwa katika ubora wake wa kuchanganya zege ili lisilale kama alivyonaswa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa leo Kibaha mkoani Pwani. Hapa kazi tuu walisikika wakisema.

 

11 years ago

Michuzi

Taswira mbalimbali katika maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam leo

 Banda la Umoja wa Mataifa katika Maonesho ya SabaSaba jijini Dar es salaam Kijana majasiriamali akionesha kazi zake kwa waliotembelea banda la Umoja wa Mataifa kwenye Maonesho ya SabaSaba. Yeye ni mmoja kati ya vijana wengi wanaofadhiliwa na Umoja wa Mataifa katika mafunzo ya ujasiriamali kufuatia mpango wa Umoja huo wa kuendeleza watoto, vijana na kinamama  Mkurugenzi wa mipango na mahusiano wa TIB Development Bank Bw. Jaffer S. Machano (mwenye miwani) akiwa na wafanyakazi wenzie wa benki...

 

9 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI JIJINI DAR LEO

 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa yanasa muendesha Bajaji akivunja sheria kwa kupita pasipo ruhusiwa kupita, hii ni pamoja na kuharibu miondo mbinu ya Barabara ya  mabasi yaendayo haraka ya Morogoro (Strabag) jijini Dar es Salaam.Madereva wa magari haya mambayo yameshindwa kupishana kwa usahihi  wakielewana mara baada ya kugongana leo katika Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, kama walivyonaswa na kamera ya Mtaa kwa Mtaa.Mchana huo marekebisho ya hali ya tumbo yakiendelea katika sehemu ya chakula...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI KUTOKA ZIWA NYASA LEO

Mtoto mkazi wa  Rupingu  akitoka  kuchota maji  katika  kina  kirefu cha ziwa Nyasa baada ya ziwa  kuchafuka na hivyo maji ya pembeni  kuwa na uchafu mwingi.
Wakazi wa Rupingu  Ludewa  wakitazama abiria  wakishuka katika  boti baada ya  ziwa kuchafuka.
Wasafiri wakishuka katika boti kuhairisha safari  baada ya   ziwa nyasa  kuchafuka 

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Uhaba wa usafiri wahatarisha usalama wa Abiria, kama walivyonaswa na kamera ya mtaa kwa mtaa leo   jijini Dar es Salaam. (Picha na Emmanue Massaka wa Globu ya jamii).

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI ZA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

 Naibu waziri wa Fedha Mhe. Mwingulu Nchemba akizungumza na Madiwani wa Kongwa,Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Wilaya (Kongwa) ambo wamefanya Ziara ya kimafunzo leo kujionea uendeshaji wa Shughuli za Bunge.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum Mhe.Marck Mwandosya akiwapungia mkono ishara ya kuwasalimia  Madiwani wa Kongwa,Wenyeviti wa Serikali za Mitaa na Wilaya Kongwa ambao wamefanya Ziara ya kimafunzo leo kujionea uendeshaji wa Shughuli za Bunge leo  Mhe.Vicky Paschal Kamata...

 

10 years ago

Dewji Blog

Taswira mbalimbali kutoka Bungeni mjini Dodoma leo

PG4A8662

Spika wa Bunge, Anne Makinda akiongozwa na Mpambe  kuingia kwenye ukumbi wa Bunge  Januari 27, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A8718

Mwanasheria Mkuu wa Serikali akiapa Bungeni mjini Dodoma.

PG4A8741

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpongeza Mwanasheria Mkuu wa serikali, George  Masaju (wapili kulia) baada ya mwanasheria huyo kuapishwa Bugeni mjini Dodoma.

PG4A8782

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua nasari, Bungeni Mjini Dodoma.

PG4A8802

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA MBALIMBALI TOKA KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA

Wajumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba Ismail Aden Rage na Kheri Ameir wakibadlishana mawazo nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kuaharishwa kwa kikao jana mjini Dodoma hadi Ijumaa.   Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama (UPDP), Fahmi Dovutwa  na Mjumbe wa Mkutano wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia Mwenyekiti wa Chama cha TLP Augustino Mrema wakibadlishana… ...

 

9 years ago

Michuzi

TASWIRA MBALIMBALI KATIKA USIKU WA TUZO YA MWAJIRI BORA WA MWAKA 2015


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi kikombe, Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na utawala wa benki ya CRDB, Bi Ngalija wakati wa kutoa zawadi katika hafla hiyo. Kutokea (kulia) ni Balozi wa Norway hapa nchini, Hanne-Marie Kaarstad, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki na Makamu Mwenyekiti wa ATE, Zuhura Muro. Mwakilishi wa Kampuni ya Maswala ya Kisheria ya Yakubu & Associates Chamber, Dkt. Timoth Kyepa akipokea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani