Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAMACHINGA WAMUUA ASKARI

Stori: Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida vijana wanaodaiwa ni Wamachinga wamemuua askari mmoja wa Jiji la Dar es Salaam kwa kumpiga na stuli kichwani wakati akitimiza majukumu yake. Marehemu Stephano Benjamin Komba (36) ambaye aliyekuwa na cheo cha sajenti. Akizungumza na waandishi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita Hospitali ya Taifa Muhimbili wakati wa kuuaga mwili huo, Mkuu wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KIINGLISHI KILIVYOWAGOMBANISHA ASKARI POLISI NA ASKARI WA MANISPAA YA MOSHI


Kisha safari ya kwenda Kituoni ikaanza. Ghafla Mkude baada ya kuona kamera ya globu ya jamii inammulika alimuamuru askari mwenzake kuikamata ,alakini hata hivyo askari yule alifahamu kuwa Globu ya jamii pia iko kazini kama walivyo wao. Mzobe mzobe ukaendelea kupita katikati ya kituo kikuu cha mabasi huku mbinje za kutosha toka kwa wakatisha tiketi na wapiga debe zikirindima. Askari Polisi.Mkude akafanikiwa kuwatia mikononi askari wa manispaa ya Moshi wanaoshughulika na...

 

10 years ago

GPL

MBWA WAMUUA DENTI, WAMLA

Stori: waandishi wetu
MWANAFUNZI wa Shule ya Msingi Ludewa mkoani Njombe, Ibrahim Faraja Chipungahelo (9) ameuawa kikatili na mbwa wanaosadikiwa kuwa na kichaa kisha kuliwa nyama. Moja ya mbwa anayedaiwa kumla mtoto Ibrahim Faraja Chipungahelo (9) akiwa ameuawa pia. Tukio hilo lililoacha simanzi kubwa kwa wakazi wa Ludewa mjini lilijiri saa 7 mchana wa Agosti 8, mwaka huu katika eneo la Ikilu ambapo marehemu na wenzake...

 

10 years ago

GPL

MASHABIKI WAMUUA MCHEZAJI ALGERIA

MCHEZAJI kutoka Cameroon amekufa baada ya kupigwa kichwani wakati mashabiki waliokereka waliporusha mawe mwisho wa mechi ya Ligi ya Algeria. Albert Ebosse enzi za uhai wake. Albert Ebosse, aliyekuwa na umri wa miaka 24, ndiye aliyefunga mabao mengi katika Ligi ya Algeria msimu uliopita.
Alirushiwa kitu wakati mashabiki walipokerwa kuwa timu yake, JS Kabylie, iliposhindwa kwa mabao 2-1 katika mechi iliyochezwa nyumbani, Tizi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Madaktari wamuua mshukiwa wa wizi India

Polisi nchini India wanasema kuwa kikundi cha madaktari kimempiga hadi kufa mshukiwa wa wizi katika taasisi ya mafunzo ya udaktari mjini Calcutta amashariki mwa India.

 

11 years ago

Mwananchi

Majambazi wamuua sista, wapora fedha

>Majambazi wamemuua kwa risasi Sista wa Kanisa Katoliki Clencensia Kapuli (50) na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambacho hakijajulikana.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wamuua muasi wa Seleka CAR

Wanajeshi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, wamemuua mwanamume mmoja anayetuhumiwa kuwa muasi wa Seleka huku ghasia zikikithiri nchini humo.

 

10 years ago

GPL

MAKOMANDO WAWAOKOA MATEKA SYDNEY, WAMUUA MTEKAJI

Huyu ndiye mtekaji raia wa Iran, Haron Monis. WATU watatu wameuawa akiwemo mtekaji raia wa Iran, Haron Monis aliyekuwa ameteka watu kwa zaidi ya saa 16 katika mgahawa mmoja jijini Sydney nchini Australia jana baada ya Makomando kuvamia eneo hilo. Watu wanne akiwemo polisi wamejeruhiwa wakati wa zoezi la uokoaji. Mmoja wa majeruhi akipatiwa huduma ya kwanza. Mtekaji huyo alikuwa ameachiwa kwa dhamana kwa makosa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wamuua mtu asiye na makao Marekani

Polisi wamempiga risasi na kumuua mtu asiye na makao mjini Los Angels Marekani

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani