Sheria ya faini bidhaa feki kurekebishwa
Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) inakusudia kuanza mchakato wa kuifanyia marekebisho sheria yake Septemba mwaka huu, ili kuiwezesha kutoza faini watu watakaopatikana na bidhaa bandia ama zisizokidhi viwango.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo26 Aug
Sheria ya Ndoa kurekebishwa
SHERIA ya ndoa inayoruhusu mtoto mwenye umri wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya wazazi, inatarajiwa kufanyiwa marekebisho kutokana na kile kilichoelezwa na serikali kwamba ni kikwazo katika kupambana na ndoa za utotoni.
11 years ago
Habarileo20 Dec
Sheria ya vileo kurekebishwa
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema Tume ya Marekebisho ya Sheria serikalini ipo katika mchakato wa kuzipitia sheria ambazo zinaonekana zimepitwa na wakati ambazo ni chanzo cha migogoro katika jamii ikiwemo kuwepo kwa vilabu vya pombe karibu na makazi ya wananchi.
11 years ago
Habarileo26 Jul
Waomba sheria kurekebishwa kuwabana wadhalilishaji
WANAHARAKATI na wananchi wa kijiji cha Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja wameitaka Serikali kuifanyia marekebisho sheria ya ushahidi ili kwenda na wakati na kuwatia hatiani watu wanaobainika kujishughulisha na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia ikiwemo ubakaji.
10 years ago
Mwananchi17 Sep
Bidhaa feki kudhibitiwa
10 years ago
Habarileo10 May
Wanaouza silaha feki kufungwa miaka 5, kupigwa faini mil.10/-
MTU yeyote atakayepatikana akiingiza au kuuza silaha za bandia, atahukumiwa kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini isiyozidi Sh milioni 10. Adhabu hiyo imetajwa na Muswada wa Usimamizi na Udhibiti wa Silaha na Risasi wa mwaka 2014.
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Bidhaa feki zamiminika Zanzibar
9 years ago
Mwananchi13 Sep
Tanzania, China kudhibiti bidhaa feki
10 years ago
Habarileo29 Mar
Mbunge ahimiza udhibiti bidhaa feki
WAZIRI kivuli wa Viwanda na Biashara, David Kafulila (NCCR-Mageuzi), amesema kuongezeka kwa bidhaa feki nchini, kutokana na kutokuwepo mamlaka za udhibiti bandarini, huku Mamlaka ya Mapato (TRA) ikitumia mfumo wa Tancs kwa ajili ya ukaguzi wake.
9 years ago
Mwananchi24 Sep
TFDA kudhibiti bidhaa feki nchini