Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sheria ya vileo kurekebishwa

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema Tume ya Marekebisho ya Sheria serikalini ipo katika mchakato wa kuzipitia sheria ambazo zinaonekana zimepitwa na wakati ambazo ni chanzo cha migogoro katika jamii ikiwemo kuwepo kwa vilabu vya pombe karibu na makazi ya wananchi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Sheria ya Ndoa kurekebishwa

SHERIA ya ndoa inayoruhusu mtoto mwenye umri wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya wazazi, inatarajiwa kufanyiwa marekebisho kutokana na kile kilichoelezwa na serikali kwamba ni kikwazo katika kupambana na ndoa za utotoni.

 

11 years ago

Habarileo

Waomba sheria kurekebishwa kuwabana wadhalilishaji

WANAHARAKATI na wananchi wa kijiji cha Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja wameitaka Serikali kuifanyia marekebisho sheria ya ushahidi ili kwenda na wakati na kuwatia hatiani watu wanaobainika kujishughulisha na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia ikiwemo ubakaji.

 

11 years ago

Mwananchi

Sheria ya faini bidhaa feki kurekebishwa

Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini (TFDA) inakusudia kuanza mchakato wa kuifanyia marekebisho sheria yake Septemba mwaka huu, ili kuiwezesha kutoza faini watu watakaopatikana na bidhaa bandia ama zisizokidhi viwango.

 

10 years ago

Habarileo

Katiba iliyopo kurekebishwa

MCHAKATO wa kuandika Katiba mpya kabla ya Uchaguzi Mkuu ujao umekwama, baada ya viongozi wa vyama vya siasa vyenye wabunge na Rais Jakaya Kikwete, kukubaliana kusitisha mchakato huo. Badala yake viongozi hao wa vyama vya siasa wamekubaliana kwamba Katiba ya sasa ya mwaka 1977, ipelekwe bungeni kufanyiwa marekebisho, ili kutoa fursa Uchaguzi Mkuu ujao ufanyike mwakani kisha mchakato wa Katiba mpya, uendelee baada ya uchaguzi huo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mswada uliozua zogo DRC kurekebishwa

Baraza la Senate nchini DRC limepiga kjura kufanyia mswada marekebisho mswada uliopendekeza sheria za uchaguzi kufanyiwa mabadiliko.

 

9 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: KWA MUJIBU WA SHERIA NDOA HIZI HAZIRUHUSIWI

Na  Bashir  Yakub
Hapa  kwetu  Tanzania  tunazo  ndoa za  aina  kuu  mbili. Kwanza  tunazo  ndoa  za  kiraia au  kiserikali, na  pili  tunazo  ndoa  za  kimila. 
Ndoa  za  kiraia  au  za  kiserikali   kama  zinavyojulikana kwa  wengi  ni  zile  ambazo  hufungwa chini  ya  usimamizi  wa  mamlaka  za serikali  kama  ofisi  ya  mkuu  wa  wilaya n.k.  Na  kwa upande  wa  ndoa za kimila    hizi  ni  zile  ambazo  hufungwa  kutokana  na  taratibu  za  watu  wa  kabila  au  koo  fulani  kwa  mujibu...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: SHERIA INAMRUHUSU MKOPAJI KUJIUZIA MWENYEWE KIWANJA/NYUMBA YA DHAMANA.


Na  Bashir  YakubWiki  kadhaa  zilizopita   nilipigiwa  simu  na  mama  mmoja  akitaka  nimpe  ushauri  wa  sheria  kuhusu  jambo  fulani. Nilifanya  miadi  naye   na tukafanya  mazungumzo. Kubwa  kuhusu  shida  yake  ilikuwa  ni  tatizo  la  mkopo ambapo  benki  moja imeuza  nyumba  yake  maeneo  ya  Kinondoni  Dar  es  saaam.  Wasiwasi  wake  ulikuwa  ukiukwaji  wa  taratibu  za  mauzo  ya  nyumba  yake  na  hivyo  akitaka  kujua  afanye  nini. Maswali  yake  yalikuwa  mengi  na ...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA YA SHERIA: SHERIA HAILAZIMISHI KUTOA MATUNZO YA MTOTO KULIKO UWEZO WAKO.

Na   Bashir  Yakub.

Suala  la matunzo  ya  watoto/mtoto  lim ekuwa  ni suala  ambalo  wasomaji  wengi  wamekuwa  wakiniuliza sana. Wengi  wao  wanaouliza  ni  wale  ambao  wamezaa  nje  ya  ndoa  na  hivyo  kuna  utata  wa  matunzo  ya  watoto  na  wale  ambao  wamekuwa wana ndoa  lakini  sasa  tayari  wametengana  aidha  kwa  talaka  au  bila  talaka.  Niseme  tu kwa  ufupi  kuwa  suala  la  matunzo  ya watoto  linajumuisha  mambo  mengi  nami  nitaeleza  baadhi  tu.


1.HUWEZI  KUMLAZIMISHA ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani