Katiba iliyopo kurekebishwa
MCHAKATO wa kuandika Katiba mpya kabla ya Uchaguzi Mkuu ujao umekwama, baada ya viongozi wa vyama vya siasa vyenye wabunge na Rais Jakaya Kikwete, kukubaliana kusitisha mchakato huo. Badala yake viongozi hao wa vyama vya siasa wamekubaliana kwamba Katiba ya sasa ya mwaka 1977, ipelekwe bungeni kufanyiwa marekebisho, ili kutoa fursa Uchaguzi Mkuu ujao ufanyike mwakani kisha mchakato wa Katiba mpya, uendelee baada ya uchaguzi huo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo19 May
Askofu asifu Katiba iliyopo
WAKATI mchakato wa mabadiliko ya Katiba ukitarajiwa kuendelea katika ngazi ya Bunge Maalumu la Katiba Agosti mwaka huu, Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea, Damian Dallu, amesifu Katiba iliyopo kwa kuunganisha Watanzania kwa miaka 50.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MOGlnOwPxeqXVdiF*zwz1vyzStXZ0oMjl*4cTpaZ2mPoQgWfBoB3puNuM-LiifVmRsLb0jTu11I0yz85JpyIP7nCWHosnJS8/pasua.jpg?width=650)
UMUHIMU WA KUPATA KATIBA MPYA ILIYOPO INA MIANYA YA RUSHWA
11 years ago
Michuzi24 Jul
SI DHAMBI KUTUMIA KATIBA ILIYOPO SASA KATIKA CHAGUZI ZIJAZO ENDAPO UKAWA WATAGOMA KURUDI BUNGENI - PINDA
Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini .
11 years ago
Habarileo20 Dec
Sheria ya vileo kurekebishwa
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema Tume ya Marekebisho ya Sheria serikalini ipo katika mchakato wa kuzipitia sheria ambazo zinaonekana zimepitwa na wakati ambazo ni chanzo cha migogoro katika jamii ikiwemo kuwepo kwa vilabu vya pombe karibu na makazi ya wananchi.
10 years ago
Habarileo26 Aug
Sheria ya Ndoa kurekebishwa
SHERIA ya ndoa inayoruhusu mtoto mwenye umri wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya wazazi, inatarajiwa kufanyiwa marekebisho kutokana na kile kilichoelezwa na serikali kwamba ni kikwazo katika kupambana na ndoa za utotoni.
11 years ago
Mwananchi10 Jul
Sheria ya faini bidhaa feki kurekebishwa
10 years ago
BBCSwahili23 Jan
Mswada uliozua zogo DRC kurekebishwa
11 years ago
Habarileo26 Jul
Waomba sheria kurekebishwa kuwabana wadhalilishaji
WANAHARAKATI na wananchi wa kijiji cha Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja wameitaka Serikali kuifanyia marekebisho sheria ya ushahidi ili kwenda na wakati na kuwatia hatiani watu wanaobainika kujishughulisha na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia ikiwemo ubakaji.
11 years ago
Zitto Kabwe, MB21 Apr
Tuboreshe Rasimu iliyopo-Zitto Kabwe
Tuboreshe Rasimu iliyopo
Na Zitto Kabwe, MB
Wiki ya Machi 18 – 22, 2014 ilianza kwa siku ya Jumanne Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba aliwaslisha rasmi Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Bunge Maalumu la Katiba. Wiki hiyo imeishia kwa siku ya Ijumaa Rais wa Jamhuri ya Muungano ndugu Jakaya Mrisho Kikwete kutoa hotuba kwa Bunge Maalumu. Hotuba zote zimepokelewa kwa hisia tofauti kulingana na msimamo wa kila mtu kuhusu hoja...