Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Askofu asifu Katiba iliyopo

WAKATI mchakato wa mabadiliko ya Katiba ukitarajiwa kuendelea katika ngazi ya Bunge Maalumu la Katiba Agosti mwaka huu, Askofu Mkuu mpya wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea, Damian Dallu, amesifu Katiba iliyopo kwa kuunganisha Watanzania kwa miaka 50.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Askofu asifu kuahirishwa Kura ya Katiba

Askofu wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Morogoro, Mhashamu Telesphor Mkude ASKOFU wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Morogoro, Mhashamu Telesphor Mkude ameipongeza Serikali kupitia Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwa kusogeza mbele upigaji wa kura za maoni ya Katiba Inayopendekezwa.

 

10 years ago

Habarileo

Ni wajibu kukumbatia amani iliyopo-Askofu

Askofu wa Kanisa la Endtime Harvest, Dk Eliah MauzaWATANZANIA wametakiwa kuilinda na kuikumbatia amani kutokana na vitendo vya kigaidi na mauaji ya kutisha.

 

10 years ago

Habarileo

Katiba iliyopo kurekebishwa

MCHAKATO wa kuandika Katiba mpya kabla ya Uchaguzi Mkuu ujao umekwama, baada ya viongozi wa vyama vya siasa vyenye wabunge na Rais Jakaya Kikwete, kukubaliana kusitisha mchakato huo. Badala yake viongozi hao wa vyama vya siasa wamekubaliana kwamba Katiba ya sasa ya mwaka 1977, ipelekwe bungeni kufanyiwa marekebisho, ili kutoa fursa Uchaguzi Mkuu ujao ufanyike mwakani kisha mchakato wa Katiba mpya, uendelee baada ya uchaguzi huo.

 

11 years ago

GPL

UMUHIMU WA KUPATA KATIBA MPYA ILIYOPO INA MIANYA YA RUSHWA

NIMSHUKURU Mungu kwa kutuweka hai leo, hakika yeye ni mwema.
Baada ya kusema hayo niseme kwamba leo nitazungumzia umuhimu wa kuwa na katiba mpya na kuachana na hii tuliyonayo ya mwaka 1977 ambayo hakika ina upungufu mwingi na hasa kuhusiana na deni la taifa. Hivi sasa deni la taifa limefikia shilingi trilioni 30.6, na ukisoma Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 utagundua kuwa imechangia kwa kiasi fulani kwa kutolipa Bunge la...

 

11 years ago

Michuzi

SI DHAMBI KUTUMIA KATIBA ILIYOPO SASA KATIKA CHAGUZI ZIJAZO ENDAPO UKAWA WATAGOMA KURUDI BUNGENI - PINDA

Video imepigwa na Dixon Busagaga wa 
Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini .

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu: Hofu ya Mungu itatupa Katiba

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea, Damian Dallu amesema Katiba Mpya itapatikana iwapo wajumbe wa Bunge la Katiba watakuwa na maadili ya kiroho kwa kufuata maagizo ya Mwenyezi Mungu bila kupindisha ukweli wa mchakato wa maoni ya Katiba.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Askofu asikitishwa kuendelea bunge la katiba

ASKOFU wa kanisa katoliki jimbo la Lindi, Bruno Ngonyani amesikitika kuhusu kuendelea kwa vikao vya Bunge maalumu la katiba mjini Dodoma. Pia ameshangazwa na uamuzi wa wajumbe wa bunge hilo...

 

11 years ago

Habarileo

Askofu ataka Katiba ya Zanzibar irekebishwe

Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Abeid Karume wakisaini Hati ya Muungano.ASKOFU wa Jimbo Teule la Dodoma la Kanisa la Methodist, Joseph Bundala amesema ili kudumisha Muungano ni vyema Katiba ya Zanzibar irekebishwe.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Askofu: Katiba mpya ngumu kupatikana

IMEELEZWA kuwa katiba mpya haiwezi kupatikana kutokana na makosa makubwa yaliyofanywa na watawala hapo awali. Hayo, yamesemwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Uhamsho wa Agano Jipya, Jackson Leguna, alipokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani