Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UMUHIMU WA KUPATA KATIBA MPYA ILIYOPO INA MIANYA YA RUSHWA

NIMSHUKURU Mungu kwa kutuweka hai leo, hakika yeye ni mwema.
Baada ya kusema hayo niseme kwamba leo nitazungumzia umuhimu wa kuwa na katiba mpya na kuachana na hii tuliyonayo ya mwaka 1977 ambayo hakika ina upungufu mwingi na hasa kuhusiana na deni la taifa. Hivi sasa deni la taifa limefikia shilingi trilioni 30.6, na ukisoma Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977 utagundua kuwa imechangia kwa kiasi fulani kwa kutolipa Bunge la...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI MTANDAO IMEPUNGUZA GHARAMA ZA HUDUMA KWA WANANCHI NA MIANYA YA RUSHWA SERIKALINI-Dkt.MWANJELWA

Na. Aaron Mrikaria-Dodoma Utoaji huduma kupitia Serikali Mtandao katika Taasisi za Umma nchini umekuwa na tija kwa wananchi kwa kuwapunguzia gharama za kusafiri umbali mrefu kufuata huduma katika Taasisi za Umma, ikiwa ni pamoja na kupunguza mianya ya rushwa kwa watumishi wanaowahudumia wananchi  katika taasisi za umma. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary Mwanjelwa jijini DODOMA wakati akizungumzia maboresho ya huduma...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali ina haki ya ‘kuipigia debe’ Katiba mpya

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Ummy MwalimuSERIKALI imesema kuwa ina haki ya kuwahamasisha wananchi kuipigia kura ya ndiyo Katiba Inayopendekezwa kwa kuwa ndio iliyohusika kuiandaa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Tunisia kupata katiba mpya

Wabunge nchini Tunisia wameanza kupigia kura rasimu ya katiba mpya ambayo ilipaswa kupitishwa miaka kadhaa iliyopita

 

10 years ago

Mwananchi

ALAT kupata fursa Katiba Mpya

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Asha-Rose Migiro amewasilisha katika Bunge Maalumu, mapendekezo ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa nchini (ALAT) ya kuongezwa kwa sura mpya katika mchakato wa Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Maridhiano ni muhimu katika kupata Katiba Mpya

Jana katika gazeti hili tulichapisha habari Rais Jakaya Kikwete akiwataka Umoja wa Katiba wa Wananchi (Ukawa, waliosusia vikao vya Bunge Maalumu la Katiba kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wake, kurejea ili kutunga Katiba.

 

11 years ago

Mwananchi

Jaji Bomani atoa ushauri kupata Katiba Mpya

>Jaji mstaafu Mark Bomani amelishauri Bunge Maalumu la Katiba kuweka kando suala la muundo wa serikali kwa kuwa ndiyo chanzo cha mgawanyiko mkubwa baina ya wajumbe.

 

11 years ago

Mwananchi

Maridhiano muhimu kupata Katiba Mpya, nchi bora, imara na yenye ustawi wa uhakika

BAADHI ya Watanzania wanaamini kwamba kutokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini mwetu kwa hivi sasa, ipo haja ya kuwa na maridhiano kati ya wanasiasa wetu na vilevile makubaliano kati ya watawala na watawaliwa juu ya jinsi watawaliwa wanavyotaka watawala waendeshe nchi na mambo yao,  kwa manufaa ya watawaliwa na siyo watawala peke yao.

 

9 years ago

Michuzi

BADO MAHALI INA UMUHIMU MKUBWA KATIKA KABILA LA WAKURYA NCHINI TANZANIA.

Kulia ni Mzee Hezekia (Maina) Binagi wa Kenyamanyori Tarime Mkoani Mara akipokea Mahali ya binti wa Kaka yake kutoka kwa Mzee Samweli Chaha Kebasa (Kushoto) Mkazi wa Rebu Tarime.Na:George GB PazzoBaadhi ya Watu wamekuwa wakiita ni Zawadi inayotolewa kwa Wazazi ama Walezi pindi binti anapokuwa katika mipango ya kuolewa. Lakini kwa umaarufu wake, watu wengi wamekuwa wakiita Mahali.


Kwa siku za hivi karibuni kumekuwepo na majadiliano makali juu ya dhana halisi ya Mahali. Hoja mbalimbali zimekuwa...

 

11 years ago

Michuzi

Pinda awataka wajumbe wa bunge maalum kuepuka mivutano, wazingatie mambo muhimu kupata katiba mpya

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Kayanza Peter Pinda akiongea na waandishi wa habari leo mjini Dodoma juu ya mambo mbalimbali ikiwemo kuwaomba wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kuepuka mivutano na badala yake wazingatie mambo muhimu yatakayosaidia Taifa na Watanzania kupata Katiba mpya .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani