Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi Zanzibar watahadharishwa kutoshiriki kufanya fujo

 

Jeshi la polisi Zanzibar limewatahadharisha wananchi wa Zanzibar kutohamasika kufanya fujo kutokana na kauli za baadhi ya viongozi wa kisiasa kauli zinazoashiria uvunjifu wa amani.

Aida jeshi hilo linasema lipo tayari  kwa hali yeyote kupambana na atakae ashiria kufanya vitendo vyya kuvunja amani kwa kisingizio cha kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar.

Kuhusu kauli ya katibu mkuu wa CUF kuwa atawachia wananchi kuamuwa wanavyotaka kutetea haki yao Jeshi  linasema kauli hizo sio nzuri na...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Wananchi watahadharishwa kutoshabikia maandamano

 Wakati vuguvugu la Kampeni za Uchaguzi likizidi kushika kasi kote nchini,Mgombea kiti cha uraisi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dokta John Pombe Magufuli amewaomba wananchi kuacha kushabikia maandamano ambayo kwa kiasi kikubwa yamesababisha uchumi kushuka katika maeneo mbalimbali nchini

Dokta Magufuli amesema kuwa suala la msingi ni kukichagua chama cha Mapinduzi CCM ambacho ndio chama pekee chenye dhamira ya kufanya mabadiliko katika nyanja mbalimbali ikiwa ni pamoja na kukomesha...

 

10 years ago

GPL

AISHA BUI ATAJA SABABU YA KUFANYA FUJO

Stori: Imelda Mtema STAA wa sinema za Kibongo, Aisha Bui amefunguka kuwa hivi karibuni aliangusha timbwili la kufa mtu kudai fedha zake za filamu aliyocheza kwa sababu fedha aliyotumia kuandaa filamu hiyo hakuhongwa na mwanaume. Staa wa sinema za Kibongo, Aisha Bui akiwa katika ofisi za kusambazia filamu za Yuneda, Mbagala jijini Dar.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Aisha  ambaye alianzisha timbwili katika ofisi za...

 

10 years ago

StarTV

Wananchi waishio pembezoni watahadharishwa juu ya Volcano.

Na Magesa Magesa,

Arusha.

 

Wananchi wanaoishi pembezo mwa mlima Meru mkoani Arusha wametakiwa kuchukua tahadhari kutokana na kuwepo kwa viashiria vya kulipuka kwa volcano katika mlima huo.

 

Tahadhari hiyo imetolewa na wadau wa utekelezaji wa mradi wa kimataifa wa kudhibiti majanga unaotekelezwa katika nchi zaidi ya mia moja duniani ikiwemo Tanzania ambapo inaelezwa kuwa Mlima Meru una volcano ambayo miaka ya nyuma iliwahi kulipuka na sasa upo uwezekano ikalipuka tena kwa miaka...

 

9 years ago

Michuzi

wananchi watahadharishwa dhidi ya bidhaa feki za IVORI

Kampuni ya IVORI-IRINGA Inawataadharisha Wateja wake  Hususani Wasambazaji na Wauzaji wa Maduka ya Jumla na Reja reja kuwa, kumekuwepo na matapeli katika baadhi ya mikoa Nchini, Wakiuza bidhaa Feki kwa kutumia jina la pipi za Ivori kwa madai ya muonekano mpya wa bidhaa zetu.

Kampuni ya Ivori Iringa haijaubadilisha muonekano wa pipi zake wala Nembo yake,Hakikisha kila pipi unayonunua  ina nembo halisi ya Ivori kutoka Iringa.

kwa yeyote atakaenunua na Kutumia bidhaa  zinazofananishwa na Pipi za...

 

10 years ago

Habarileo

Muumini Moravian mbaroni kwa kufanya fujo kanisani

Leonard PaulPOLISI mkoani Morogoro linamshikilia Jackson Mnyilemi (20), ambaye ni muumini wa Kanisa la Moravian Tarafa ya Malinyi wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro kwa tuhuma za kuhusika kufanya fujo kanisani.

 

9 years ago

GPL

CCM WALAANI WAFUASI WA UKAWA KUFANYA FUJO KWENYE OFISI ZAO TANGA

Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba. Chama cha Mapinduzi kinasikitishwa na kitendo cha wafuasi wa vyama vinavyounda UKAWA kupiga mawe na kutupa chupa, baadhi zikiwa na mikojo, kwenye Ofisi ya CCM Mkoa wa Tanga jana, tarehe 28 Septemba 2015, kabla na baada ya mkutano wao wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Tangamano, Tanga Mjini. Kama ilivyo kawaida yetu miaka yote, CCM iliazimia kufanya kampeni za amani,...

 

11 years ago

Bongo Movies

EXCLUSIVE!! Irene uwoya afunguka juu ya tuhuma za kufanya fujo nyumbani kwa mume wa mtu!

NYOTA wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya amefunguka juu ya tuhuma za kufanya fujo nyumbani kwa mume wa mtu zilizoripotiwa na mitandao mbalimbali ya habari nchini hivi karibuni.

Akizungumza exclusively nasi, Irene amesema kuwa haelewi hizo tuhuma zimetoka wapi na wala hajui aanzie wapi kuzijibu maana siyo yote yaliyoripotiwa ni kweli.

Tuhuma hizo zilidai kuwa, mwanadada huyo mrembo alienda kuleta timbwili nyumbani kwa mume wa mtu huyo baada ya kusikia kuwa jamaa huyoa ameamua kuoa na kumoiga...

 

11 years ago

Michuzi

MANGULA AWASILI MKOANI IRINGA LEO,AKABIDHIWA MAJINA 20 YA WANAODAIWA KUJIANDAA KUFANYA FUJO KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA

Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara,Ndugu Philip Mangula akiongea na Waandishi wa Habari  Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara,Ndugu Phillip Mangula akiongea na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali mapema leo asubuhi ndani ya Ofisi za Makao makuu ya chama hicho,huku akiwaonesha picha iliyotumika kwenye moja ya gazeti la kila siku hapa nchini,kwamba baadhi ya Wapinzani wamekuwa wakitumia vibaya nafasi za kutafuta uongozi kwa kuwadhalilisha watoto kupitia umaskini wao walionao ikiwemo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani