Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mvua kubwa yaua Dar

Wakazi wa Dar es Salaam wakipita ndani ya dimbwi la maji ya mvua yaliyotuama katika Barabara ya Bibi Titi jirani na kituo cha daladala ya chumba cha Dada Pendo, cha Akiba kutokana na mvua kubwa iliyonyesha jana. (Picha na Mroki Mroki).MVUA iliyonyesha jijini Dar es Salaam jana, imeleta balaa baada ya kuua watu wawili, katika maeneo tofauti ya jiji, likiwemo tukio la mtoto wa miaka minane kufa baada ya kuzidiwa na maji yaliyoingia ndani ya nyumba aliyokuwa amelala.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mvua yaua 5 Dar es Salaam, yajeruhi

Nyumba za wakazi wa Bonde la Hananasif, Kinondoni zikiwa zimefunikwa na maji baada ya bonde hilo kufurika maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Fadhili Akida).HALI ni tete katika jiji la Dar es Salaam, kutokana na mvua ya masika iliyonyeshwa kwa siku tatu na kusababisha vifo vya watu watano, huku nyumba nyingi zikiwa zimezingirwa na maji.

 

10 years ago

Mwananchi

Mvua yaua watano Dar, wamo wanafunzi

>Watu watano wamefariki dunia kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, watatu kati yao wakiwamo wanafunzi wawili, wakipoteza maisha baada ya kibanda walichojihifadhi kujikinga na mvua kuangukiwa na nguzo ya umeme na kuwaunguza.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mvua yaua wawili, yakata mawasiliano Dar, Bagamoyo

MVUA inayoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam imeanza kuleta athari baada ya watu wawili kufariki dunia jijini humo huku kaya zaidi ya 200 zikikosa mahali pa kuishi baada ya nyumba...

 

10 years ago

Vijimambo

MVUA KUBWA ‘YALILOWESHA’ JIJI LA DAR ES SALAAM

Mtaa wa Ohio katikati ya jiji ulivyokuwa umekumbwa na maji.…Hali ilivyokuwa maeneo ya Mwananyamala A.Maeneo ya Hongera, Sinza, nayo yalijaa maji.Maeneo ya Afrika Sana yalionja adha ya mvua hiyo kama sehemu nyingine nyingi.Hapa ni eneo la Mwenge-Bamaga ambalo nalo liliathirika vibaya. 
MTANDAO wetu leo umefanikiwa kuzunguka baadhi ya maeneo katika viunga vya jiji la Dar es Salaam na kujionea baadhi ya maeneo baada ya mvua kubwa ‘kuanguka’ katika jiji hili na maeneo ya jirani na kusababisha...

 

10 years ago

GPL

MVUA YAGEUKA KERO KUBWA KWA WAKAZI WA DAR

Soko la Mchikichini, Ilala-Boma linavyoonekana kufuatia mvua za sasa Maji yalivyotapakaa soka la Sinza Afrika-Sana. Wakazi wa Mwanayamala-Mkwajuni wakitoa maji katika nyumba zao.…

 

10 years ago

GPL

MVUA KUBWA ‘YALILOWESHA’ JIJI LA DAR ES SALAAM

Mtaa wa Ohio katikati ya jiji ulivyokuwa umekumbwa na maji.…

 

11 years ago

Mwananchi

Mvua yaua, yaezua nyumba 62

Nyumba 62 zilizopo katika Vijiji vya Wilaya ya Kilindi, zimeezuliwa na nyingine kubomoka kutokana na mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali kunyesha kwenye maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Tanga.

 

10 years ago

Habarileo

Mvua yaua watu 38 Kahama

Wakazi wa Kahama mkoani Shinyanga wakipita kwenye eneo lililofurika maji kutokana na mvua kubwa iliyoambatana na upepo iliyonyesha mkoani humo juzi.MAAFA makubwa yameikumba Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga baada ya watu 38 kufa papo hapo na wengine 82 kujeruhiwa, kutokana na mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali, iliyonyesha katika Kijiji cha Mwakata Kata ya Isaka.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani