Kopunovic amtaja aliyeimaliza Simba
![](http://api.ning.com:80/files/i41PO2l4KKWLA2-wSIWN22AUyMzvtSrvhRfylWRtCsX09-wTkvbLcnSgQjOCCimXxoztckdGjmdnsGb7gjSILOzPW4I69kJ*/1.jpg)
Kocha wa Simba, Goran Kopunovic. Na Hans Mloli BAADA ya Simba kufungwa mabao 2-1 na Mbeya City, juzi Jumatano katika Ligi Kuu Bara, Kocha wa Simba, Goran Kopunovic, amefunguka kuhusu sababu zilizochangia kipigo hicho huku akimtaja mchezaji mmoja kuhusika. Kocha huyo raia wa Serbia ametoa tamko juu ya mechi hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa kwa kusema kuwa kukosekana kwa baadhi ya wachezaji wake, hasa Said Ndemla...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NOzw*b8EyMqXIZ*72e-KIr-FtBY09gPsxOWJeFrQYbXuRUa9l32HB1FDg3YM9bSyT1VQ-kDhGzQ2hsFFjfBQVQIBXVM0KNU3/samata.gif?width=650)
Mbwana Samatta amtaja aliyeimaliza Stars
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Kocha Kopunovic tena Simba
Mserbia, Goran Kopunovic.
Hans Mloli,
Dar es Salaam
UNAWEZA kuona kama ni utani lakini ndiyo hali halisi ilivyo, Klabu ya Simba imeamua kufanya mazungumzo na aliyekuwa kocha wao, Mserbia, Goran Kopunovic.
Ishu ya kuanza mazungumzo na kocha huyo iliibuka wakati wa mchakato wa awali ulipoanza wa kumtafuta kocha msaidizi wa timu hiyo ambaye mpaka sasa bado hajapatikana baada ya kocha mkuu wa wekundu hao, Dylan Kerr kuchomoa ujio wa Mganda, Moses Basena.
Habari ikufikie kuwa Kopunovic...
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Wanachama Simba wamtaka Kopunovic
NA BARAKA JAMALI, MTWARA
WANACHAMA wa klabu ya Simba Mtwara, wameuomba uongozi wa timu hiyo umrudishe kocha wao wa zamani, Goran Kopunovic, ili kuweza kuirejesha heshima ya timu hiyo ya kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jana, wanachama hao walisema kuwa uongozi wa timu hiyo umekuwa ukibadili makocha kila mwaka jambo ambalo limewasababishia kufanya vibaya katika mashindano mbalimbali wanayoshiriki, pia kumfukuza kocha mzuri...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Jn0HiigvFFw*U6IYjtcJvWBwr4kuffMHV2niGYXl*-T5f79hqR56HZm3XbgctFVsMONjsllM*TKyLqe*Me7KJQWXCkP6EX2M/NOVIC.jpg)
Kopunovic aondoa watatu Simba
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Kopunovic azuia kambi Simba SC
10 years ago
Vijimambo20 May
Kopunovic alegeza masharti Simba.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Goran-20MAY2015.jpg)
Sizitaki mbichi hizi zimeanza kujitokeza kwa Mserbia Goran Kopunovic ambaye alishindwana na Simba baada ya kuitaka klabu hiyo kumpa Sh. milioni 100 za ada ya usajili ili kusaini mkataba mpya huku pia akiitaka kumuongeza mshahara na kuwa Sh. milioni 28 kwa mwezi.
Hata hivyo, wakati Simba ikiwa katika mchakato wa kusaka mbadala wake, imeelezwa kuwa kocha huyo ameanza kuwapigia simu viongozi wa klabu hiyo na kuwaambia ameshusha kiwango cha fedha anachotaka kulipwa ili...
10 years ago
Mwananchi09 Jan
Kopunovic: Sina kikosi cha kwanza Simba
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Takwimu Simba zambeba Kerr siyo Kopunovic
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4MXCALxsrL0X5zbzVzwpn*vacjqbOhGEA3EAK3ocVK-3gTocz*uty3tnpd5V*N63BPGqkrzvGirVo-kCIuSQ4SS-0EcSWmgL/loga.jpg?width=650)
Loga amtaja Tambwe adui namba moja Simba