Kopunovic aondoa watatu Simba
![](http://api.ning.com:80/files/Jn0HiigvFFw*U6IYjtcJvWBwr4kuffMHV2niGYXl*-T5f79hqR56HZm3XbgctFVsMONjsllM*TKyLqe*Me7KJQWXCkP6EX2M/NOVIC.jpg)
Kocha wa Simba, Goran Kopunovic. Na Mwandishi Wetu KOCHA wa Simba, Goran Kopunovic, ametangaza mapema aina tatu za wachezaji ambao hawawezi kudumu katika kikosi chake.Kopunovic, raia wa Serbia, amesema wachezaji wasiotaka kujituma ndiyo kundi la kwanza ambalo halitakuwa na nafasi katika kikosi chake. “Pili ni wale wasiokuwa na nidhamu na tatu wasiocheza kwa manufaa ya timu au kuangalia manufaa ya pamoja kama timu, hakika...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers25 Dec
Kocha Kopunovic tena Simba
Mserbia, Goran Kopunovic.
Hans Mloli,
Dar es Salaam
UNAWEZA kuona kama ni utani lakini ndiyo hali halisi ilivyo, Klabu ya Simba imeamua kufanya mazungumzo na aliyekuwa kocha wao, Mserbia, Goran Kopunovic.
Ishu ya kuanza mazungumzo na kocha huyo iliibuka wakati wa mchakato wa awali ulipoanza wa kumtafuta kocha msaidizi wa timu hiyo ambaye mpaka sasa bado hajapatikana baada ya kocha mkuu wa wekundu hao, Dylan Kerr kuchomoa ujio wa Mganda, Moses Basena.
Habari ikufikie kuwa Kopunovic...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/i41PO2l4KKWLA2-wSIWN22AUyMzvtSrvhRfylWRtCsX09-wTkvbLcnSgQjOCCimXxoztckdGjmdnsGb7gjSILOzPW4I69kJ*/1.jpg)
Kopunovic amtaja aliyeimaliza Simba
9 years ago
Mtanzania05 Jan
Wanachama Simba wamtaka Kopunovic
NA BARAKA JAMALI, MTWARA
WANACHAMA wa klabu ya Simba Mtwara, wameuomba uongozi wa timu hiyo umrudishe kocha wao wa zamani, Goran Kopunovic, ili kuweza kuirejesha heshima ya timu hiyo ya kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jana, wanachama hao walisema kuwa uongozi wa timu hiyo umekuwa ukibadili makocha kila mwaka jambo ambalo limewasababishia kufanya vibaya katika mashindano mbalimbali wanayoshiriki, pia kumfukuza kocha mzuri...
10 years ago
Vijimambo20 May
Kopunovic alegeza masharti Simba.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Goran-20MAY2015.jpg)
Sizitaki mbichi hizi zimeanza kujitokeza kwa Mserbia Goran Kopunovic ambaye alishindwana na Simba baada ya kuitaka klabu hiyo kumpa Sh. milioni 100 za ada ya usajili ili kusaini mkataba mpya huku pia akiitaka kumuongeza mshahara na kuwa Sh. milioni 28 kwa mwezi.
Hata hivyo, wakati Simba ikiwa katika mchakato wa kusaka mbadala wake, imeelezwa kuwa kocha huyo ameanza kuwapigia simu viongozi wa klabu hiyo na kuwaambia ameshusha kiwango cha fedha anachotaka kulipwa ili...
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Kopunovic azuia kambi Simba SC
10 years ago
Mwananchi09 Jan
Kopunovic: Sina kikosi cha kwanza Simba
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Takwimu Simba zambeba Kerr siyo Kopunovic
10 years ago
Mtanzania11 May
Nyota watatu kung’oka Simba
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
TIMU ya Simba imepanga kuwatema nyota wake watatu na kusajili wachezaji wenye uzoefu ili kuimarisha kikosi hicho ambacho kinaundwa na chipukizi wengi.
Simba imeanza mikakati ya usajili kwa ajili ya msimu ujao baada ya kumaliza Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu ikiwa nafasi ya tatu huku ubingwa ukinyakuliwa na watani wao wa jadi Yanga na Azam kushika nafasi ya pili.
Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi Ofisa Habari wa timu hiyo, Haji Manara, alisema uongozi...
10 years ago
Mwananchi27 Oct
Simba yaanza timuatimua, yatimua nyota watatu kambini