Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yaanza timuatimua, yatimua nyota watatu kambini

Uongozi wa Simba, umewatimua kambini nyota wake watatu, Shaaban Kisiga, Amri Kiemba na Harun Chanongo baada ya wachezaji hao kucheza chini ya kiwango katika mechi za Ligi Kuu Bara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Nyota watatu kung’oka Simba

SimbaNA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

TIMU ya Simba imepanga kuwatema nyota wake watatu na kusajili wachezaji wenye uzoefu ili kuimarisha kikosi hicho ambacho kinaundwa na chipukizi wengi.

Simba imeanza mikakati ya usajili kwa ajili ya msimu ujao baada ya kumaliza Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu ikiwa nafasi ya tatu huku ubingwa ukinyakuliwa na watani wao wa jadi Yanga na Azam kushika nafasi ya pili.

Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi Ofisa Habari wa timu hiyo, Haji Manara, alisema uongozi...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

TEKU yatimua watatu


                                                                                    Na Solomon wansele, mbeya
WAFANYAKAZI watatu wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU), kilichopo jijini Mbeya, wakiwemo wahasibu, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za upotevu wa zaidi ya sh. milioni 300, mali ya chuo hicho.Upotevu huo umebainika kutokana na ukaguzi wa hesabu za chuo hicho kwa kipindi cha mwaka 2012/2013.Hata hivyo, taarifa zinaeleza kuwa upotevu wa fedha unaweza kuwa zaidi ya sh. Milioni 300 kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota watatu kuiacha Yanga karibuni

Huenda klabu ya Yanga ikawapoteza wachezaji wake watatu, Haruna Niyonzima, Mbuyu Twite na Juma Kaseja raundi ya pili ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

9 years ago

Mwananchi

Nyota watatu kuiua Nigeria watajwa

Wakati timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ ikijiandaa kuikabili Nigeria, wachezaji watatu au wanne wameonekana ndiyo watakaoamua mechi hiyo mapema endapo watacheza katika ubora wao. Wachezaji hao, Mbwana Samatta, John Bocco na Thomas Ulimwengu ndiyo pekee wameshikilia mkononi roho za Watanzania ili kuhakikisha wanaipa ushindi wa mapema Stars.

 

9 years ago

StarTV

Simba Sc kukipiga na Mwadui kabla ya kurudi kambini Zanzibar

 SIMBA SC watacheza mchezo wa kirafiki na Mwadui FC ya Shinyanga Jumatatu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kabla ya kwenda Zanzibar kuweka kambi ya kujiandaa na Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Awali, mchezo huo ilikuwa ufanyike Jumapili, lakini Ofisa Habari wa Simba SC, Hajji Sunday Manara amesema kwamba umeahirishwa kupisha uzinduzi wa kampeni za vyama vya siasa kuelekea uchaguzi Mkuu.
Mchezo huo unatarajiwa kuwapa fursa wapenzi wa Simba SC kumuona kwa mara nyingine mshambuliaji wao mpya,...

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA SC YAINGIA KAMBINI ZANZIBAR HUKU IKIMTEMA MSHAMBULIAJI WAKE KUTOKA GAMBIA


KLABU  ya Simba imeingia kambini leo Zanzibar huku ikimtema mshambuliaji wake raia wa Gambia Omar Mboob.
Katibu mkuu wa Simba Steven Ally alidhibitisha kuwa mchezaji huyo ameenguliwa kwenye kikosi cha Simba kwa vile ameshindwa kuonyesha kiwango cha kumshawishi kocha Patrick Phiri ili aweze kusajiliwa.
"Mboob kwa sasa tunamfanyia taratibu ili aweze kurudi nchini kwao, kesho (leo) au kesho kutwa ataondoka, ameshindwa kuonyesha makali."alisema
Wakati Ally akisema hayo, Mwenyekiti wa kamati...

 

9 years ago

Mwananchi

Nyota Senegal kutua Simba

Simba iko mbioni kumsajili mshambuliaji mpya raia wa Senegal, Papa Niang anayetarajiwa kutua nchini leo.

 

10 years ago

Mwananchi

Nyota 10 Simba, Yanga sokoni

Wakati dirisha dogo la usajili wa Ligi Kuu Tanzania Bara na Ligi Daraja la Kwanza linafunguliwa leo, wachezaji 10 wa Simba na Yanga wapo sokoni na klabu yoyote ruksa kuwanunua.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga awakaribisha nyota wa Simba B

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic, ametoa ofa kwa nyota wa kikosi B, kupandishwa hadi kikosi cha kwanza kama  wataonyesha uwezo mkubwa kisoka. Loga amesema ameamua kufanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani