Nyota watatu kuiua Nigeria watajwa
Wakati timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ ikijiandaa kuikabili Nigeria, wachezaji watatu au wanne wameonekana ndiyo watakaoamua mechi hiyo mapema endapo watacheza katika ubora wao. Wachezaji hao, Mbwana Samatta, John Bocco na Thomas Ulimwengu ndiyo pekee wameshikilia mkononi roho za Watanzania ili kuhakikisha wanaipa ushindi wa mapema Stars.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania16 Jun
Nyota Chelsea atumia dakika 9 kuiua Stars
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
NYOTA wa Chelsea anayecheza kwa mkopo Fiorentina, Mohamed Salah, alitumia dakika tisa juzi usiku kuiongoza timu yake ya Taifa ya Misri kuiua Taifa Stars mabao 3-0.
Stars iliweza kuhimili vishindo vya Misri kwa takribani dakika 60 za mwanzo za mchezo huo wa Kundi G, kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2017 nchini Gabon.
Lakini Salah, aliyekuwa nyota wa mchezo huo, aliweza kupiga kona safi dakika ya 60 iliyozaa bao la kwanza lililofungwa na...
10 years ago
Habarileo01 Sep
Stars yapata makali kuiua Nigeria J’mosi
TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro chini ya Kocha wake Mkuu Charles Boniface Mkwasa imekamilisha kambi nchini Uturuki na inatarajia kurejea leo nchini.
10 years ago
Mtanzania11 May
Nyota watatu kung’oka Simba
NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
TIMU ya Simba imepanga kuwatema nyota wake watatu na kusajili wachezaji wenye uzoefu ili kuimarisha kikosi hicho ambacho kinaundwa na chipukizi wengi.
Simba imeanza mikakati ya usajili kwa ajili ya msimu ujao baada ya kumaliza Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu ikiwa nafasi ya tatu huku ubingwa ukinyakuliwa na watani wao wa jadi Yanga na Azam kushika nafasi ya pili.
Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi Ofisa Habari wa timu hiyo, Haji Manara, alisema uongozi...
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Nyota watatu kuiacha Yanga karibuni
11 years ago
Mwananchi27 Oct
Simba yaanza timuatimua, yatimua nyota watatu kambini
9 years ago
Bongo509 Dec
Diamond na Vanessa watajwa kuwania tuzo za ‘TooXclusive Awards 2015’ za Nigeria

Mtandao wa ku-download muziki tooXclusive.com wa Nigeria ambao ndio waandaaji wa tuzo za ‘TooXclusive Awards 2015’ wametangaza majina ya nominees wa mwaka huu.
Kuna jumla ya vipengele 18 vinavyoshindaniwa, na kipengele cha ‘African Artiste Of The Year’ ndio kinachowahusu wasanii wa nje ya Nigeria ikiwemo Tanzania.
Diamond Platnumz na Vanessa Mdee ndio wasanii wa Tanzania wanaoshindana na Sauti Sol (Kenya), Sarkodie (Ghana), Cassper Nyovest na AKA (South Africa).
AFRICAN ARTISTE OF THE...
11 years ago
BBCSwahili25 Mar
WizKid Kijana nyota wa Nigeria
10 years ago
BBCSwahili20 Oct
Nyota mwingine wa Nigeria ajitoa Super Eagles
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
Miguu ya nyota wa Nigeria, Ghana ilivyoongea Brazil
BAADA ya Cameroon kuanza vibaya faina za Kombe la Dunia 2014 kuchapwa bao 1-0 ilipoumana na Mexico katika siku ya pili ya fainali hizo, hofu ilitanda mioyoni mwa Waafrika wengi,...