Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyota Chelsea atumia dakika 9 kuiua Stars

pICHANA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
NYOTA wa Chelsea anayecheza kwa mkopo Fiorentina, Mohamed Salah, alitumia dakika tisa juzi usiku kuiongoza timu yake ya Taifa ya Misri kuiua Taifa Stars mabao 3-0.
Stars iliweza kuhimili vishindo vya Misri kwa takribani dakika 60 za mwanzo za mchezo huo wa Kundi G, kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2017 nchini Gabon.
Lakini Salah, aliyekuwa nyota wa mchezo huo, aliweza kupiga kona safi dakika ya 60 iliyozaa bao la kwanza lililofungwa na...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Nyota watatu kuiua Nigeria watajwa

Wakati timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ ikijiandaa kuikabili Nigeria, wachezaji watatu au wanne wameonekana ndiyo watakaoamua mechi hiyo mapema endapo watacheza katika ubora wao. Wachezaji hao, Mbwana Samatta, John Bocco na Thomas Ulimwengu ndiyo pekee wameshikilia mkononi roho za Watanzania ili kuhakikisha wanaipa ushindi wa mapema Stars.

 

11 years ago

GPL

JK ATUMIA DAKIKA 15 KUMFAGILIA DIAMOND

Stori: Mwandishi Wetu Rais Jakaya Kikwete alianza kwa kusema: “Watanzania hawapaswi kumbeza Diamond kwani pamoja na kukosa tuzo ya MTV lakini kuna juhudi kubwa alionyesha kwa kufanya shoo kubwa ya kwanza na ya kimataifa ambayo niliishuhudia mwenyewe na niliona watu walifurahia sana,” Rais Jakaya Kikwete akimpa mkono wa pongezi Msanii mkali katika miondoko ya Bongo Fleva, Abdul Nassib, Diamond kwa hatua aliyofikia. ...

 

10 years ago

Vijimambo

MECHI YA STARS UNITED NA ALL AFRICAN STARS MPAKA DAKIKA 90 MAMBO NI 5-5


 Kutoka kushoto ni Dallah , Mundo na Ediga wachezaji wa Stars United wakitafakali jambo kabla ya mechi All African Stars wakipata picha ya pamoja.                       Stars United wakipata  picha ya pamoja. Kifaa cha Stars United Elvis Mnyamuru akijaribu kumiliki mpira. Mmoja ya wachezaji wa All African Stars ya Atlanta akiwa chini baada ya kuchezewa rafu huku wachezaji wa Stars United. Mchezaji wa All African Stars (kulia) akijaribu kumtoka Edgar mmoja ya mchezaji wa Stars United Mchezaji...

 

9 years ago

Habarileo

‘Maguri ataisaidia Stars kuiua Algeria’

KOCHA Msaidizi wa Stand United, Athuman Bilali ‘Billo’ amesema Elias Maguri anaweza kuifunga Algeria endapo kocha Boniface Mkwasa atamtumia.

 

9 years ago

Habarileo

Stars yapata makali kuiua Nigeria J’mosi

TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro chini ya Kocha wake Mkuu Charles Boniface Mkwasa imekamilisha kambi nchini Uturuki na inatarajia kurejea leo nchini.

 

9 years ago

MillardAyo

Kutana na video ya dakika 1 ya mkusanyiko wa matukio ya Mourinho ambayo hana furaha Chelsea …

December 16 stori zilizopo kwenye mitandao mingi ya soka barani Ulaya ni kuhusu uamuzi wa uongozi wa klabu ya Chelsea kuhitisha mkutano wa dharura na kujadili mwenendo wa timu yao sambamba na kumjadili kocha Jose Mourinho. Nimekutana na video hii kutoka BBC ambayo wamekusanya matukio kadhaa ya Jose Mourinho akiwa hana furaha ndani ya Chelsea […]

The post Kutana na video ya dakika 1 ya mkusanyiko wa matukio ya Mourinho ambayo hana furaha Chelsea … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Abramovich atoa onyo kali kwa nyota Chelsea

Siku mbili baada ya kutimuliwa kwa kocha Jose Mourinho kutoka Chelsea, mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich amewageukia wachezaji wa kikosi cha kwanza na kuwataka wabadilike.

 

9 years ago

MillardAyo

Dakika 7 za Kumwembe na Saleh Ally wakichambua kuhusu Chelsea kumtimua Mourinho, ni sahihi? kosa lake … (+Audio)

Headlines za soka la kimataifa kwa sasa ni kuhusu uongozi wa klabu ya Chelsea kuamua kumuachisha kazi Jose Mourinho, taarifa ambazo zilitoka mchana wa December 17. Kila mtu kaongea lake ila AMPLIFAYA ya Clouds FM iliwatafuta wachambuzi na waandishi wa habari za michezo Edo Kumwembe na Saleh Ally kuhusu uamuzi wa Chelsea kumfuta kazi ni uamuzi […]

The post Dakika 7 za Kumwembe na Saleh Ally wakichambua kuhusu Chelsea kumtimua Mourinho, ni sahihi? kosa lake … (+Audio) appeared first on...

 

9 years ago

MillardAyo

Enjoy dakika nne za ushindi wa kwanza wa Chelsea bila Mourinho na kipigo cha Man United Old Trafford (+Video)

Jumamosi ya December 19 zimechezwa mechi saba za Ligi Kuu Uingereza, michezo ambayo ilikuwa inatajwa kuwa na mvuto zaidi ni mchezo kati ya Chelsea dhidi ya Sunderland. Huu ulikuwa na mvuto kwa sababu ndio mchezo wa kwanza wa Chelsea kucheza bila kuwepo kwa aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo Jose Mourinho.Chelsea imefanikiwa kuifunga Sunderland kwa jumla […]

The post Enjoy dakika nne za ushindi wa kwanza wa Chelsea bila Mourinho na kipigo cha Man United Old Trafford (+Video) appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani