JK ATUMIA DAKIKA 15 KUMFAGILIA DIAMOND
![](http://api.ning.com:80/files/p5H7N8Ot6oMIaJoXDUKSmnu9FXHVZML6BcGMF6L*LvZ5HTjOWCiHDn3Qq3w9OGtqX0GUD0FZyx1Ej4O*KPfQMEL7bxHVj9P3/wema.jpg)
Stori: Mwandishi Wetu Rais Jakaya Kikwete alianza kwa kusema: “Watanzania hawapaswi kumbeza Diamond kwani pamoja na kukosa tuzo ya MTV lakini kuna juhudi kubwa alionyesha kwa kufanya shoo kubwa ya kwanza na ya kimataifa ambayo niliishuhudia mwenyewe na niliona watu walifurahia sana,†Rais Jakaya Kikwete akimpa mkono wa pongezi Msanii mkali katika miondoko ya Bongo Fleva, Abdul Nassib, Diamond kwa hatua aliyofikia. ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania16 Jun
Nyota Chelsea atumia dakika 9 kuiua Stars
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
NYOTA wa Chelsea anayecheza kwa mkopo Fiorentina, Mohamed Salah, alitumia dakika tisa juzi usiku kuiongoza timu yake ya Taifa ya Misri kuiua Taifa Stars mabao 3-0.
Stars iliweza kuhimili vishindo vya Misri kwa takribani dakika 60 za mwanzo za mchezo huo wa Kundi G, kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2017 nchini Gabon.
Lakini Salah, aliyekuwa nyota wa mchezo huo, aliweza kupiga kona safi dakika ya 60 iliyozaa bao la kwanza lililofungwa na...
11 years ago
Uhuru Newspaper12 Jul
Atumia kamba za viatu kujiua
NA JESSICA KILEO
WATU wawili wamefariki dunia mjini Dar es Salaam katika matukio mawili tofauti, likiwemo la Godfrey Mtenga kukutwa akiwa amejinyonga hadi kufa.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kinondoni, Camilius Wambura, alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 4.00 asubuhi katika eneo la Kibangu Makoka, ambapo Mtenga alikutwa akiwa ananing’inia baada ya kujinyonga kwa kutumia kamba za viatu alizozitundika juu ya tawi la mti.
Wambura alisema, walikuta mwili wa mtu huyo ukiwa unaning’inia huku chini...
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Atumia shuka kujinyonga mpaka kufa
10 years ago
BBCSwahili03 Dec
Daktari atumia pampu kufanya upasuaji
9 years ago
Mtanzania29 Sep
Nape atumia muda wa kampeni kutukana
Nape atumia muda wa kampeni kutukana
Jonas Mushi na Veronica Romwald, Dar es Salaam
MJUMBE wa Kamati ya Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ametumia muda wote aliopewa kumnadi mgombeaa urais wa chama hicho, Dk. John Magufuli kumtukana mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayewakilisha Ukawa, Edward Lowassa pamoja na viongozi wenzake.
Katika mkutano huo uliofanyika jana katika viwanja vya Samora mjini Iringa na kurushwa moja kwa moja katika Kituo cha...
10 years ago
Mwananchi25 Jun
Mkulima atumia mabasi kusaka wadhamini