Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nape atumia muda wa kampeni kutukana

IMG_1493Nape atumia muda wa kampeni kutukana

Jonas Mushi na Veronica Romwald, Dar es Salaam

MJUMBE wa Kamati ya Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ametumia muda wote aliopewa kumnadi mgombeaa urais wa chama hicho, Dk. John Magufuli kumtukana mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayewakilisha Ukawa, Edward Lowassa pamoja na viongozi wenzake.

Katika mkutano huo uliofanyika jana katika viwanja vya Samora mjini Iringa na kurushwa moja kwa moja katika Kituo cha...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MGOMBEA UKAWA ATUMIA MUDA MWINGI KUTAMBULISHA FAMILIA

Mgombea udiwani wa Kata ya Kilakala kwa tiketi ya Chadema , Mapunda Lusewe akitambulisha familia yake jukwaani. Na Dustan Shekidele, Morogoro MGOMBEA udiwani wa Kata ya Kilakala kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa baraka za muungano wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Mapunda Lusewe, Jumamosi iliyopita alizindua kampeni kwa kuibua minongo’no kufuatia kitendo chake cha kutumia muda mrefu...

 

9 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA URAIS ZAANZA RASMI, TUME YATOA RATIBA ZA MAENEO NA MUDA WA KAMPENI


Tume ya Taifa ya uchaguzi inakutana na Kamati Maalumu inayo undwa na wajumbe kutoka vyama nane vilivyo na wagombea wa urais na makamo kuandaa Ratiba ya mikutano ya hadhara kurahisisha kubaini vyama vilivyopanga mkutano mmoja katika mkoa mmoja, wilaya moja, na Eneo moja kwa Tarehe mojaMkurugenzi wa NEC Kailima Ramadhani amesema anafarijika sana na ushirikiano wanaouonyesha Wawakilishi Wa vyama katika kuhakikisha mchakato kuwa wa Amani na utulivu bila kujali itikadi za vyama vyao kikao...

 

9 years ago

Mwananchi

Samia atumia kongamano la wanawake kupiga kampeni

Mgombea mwenza wa urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan jana alitumia fursa aliyopata katika Kongamano la Wanawake wa Vyuo vikuu na Wanataaluma, lililowakutanisha wagombea wanawake wa vyama vyote vya siasa kukiombea kura chama chake.

 

11 years ago

GPL

NAPE: KURUDISHWA KWA MAWAZIRI MIZIGO NI KUWAPA MUDA WAREKEBISHE MAPUNGUFU YAO

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, Dar. Mara baada ya kuundwa kwa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa inayoongozwa na Katibu Mkuu Ndg. Abdulrahman Kinana mwanzoni mwaka mwaka jana, Sekretarieti hiyo imejiwekea utaratibu wa kufanya ziara mikoani kukutana na wananchi kusikiliza kero zao, kukagua utekelezaji...

 

10 years ago

Habarileo

Muda wa kampeni Katiba mpya bado-JK

Rais Kikwete akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Kilimani jijini Dodoma jana tayari kwa mkutano wake na Wazee wa mji wa Dodoma, aliouitisha ili kuzungumza nao masuala kadhaa ya maendeleo. (Picha na Ikulu).WAKATI makundi kadhaa yakianza kufanya mikutano na kuendesha midahalo kuhusiana na Katiba Inayopendekezwa, Rais Jakaya Kikwete amesema muda wa kufanya kampeni na kuuelimisha umma juu ya katiba hiyo haujafika na amewataka wananchi kuwa na subira ili kuepusha vurugu.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

IGP: Kuzidisha muda wa kampeni si kosa la jinai

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu. Julius Mathias – Mwananchi Posted Jumanne, Septemba 8, 2015 Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Ernest Mangu amesema hakuna sheria inayozuia wagombea urais, ubunge na udiwani kufanya kampeni […]

The post IGP: Kuzidisha muda wa kampeni si kosa la jinai appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani