Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muda wa kampeni Katiba mpya bado-JK

Rais Kikwete akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Kilimani jijini Dodoma jana tayari kwa mkutano wake na Wazee wa mji wa Dodoma, aliouitisha ili kuzungumza nao masuala kadhaa ya maendeleo. (Picha na Ikulu).WAKATI makundi kadhaa yakianza kufanya mikutano na kuendesha midahalo kuhusiana na Katiba Inayopendekezwa, Rais Jakaya Kikwete amesema muda wa kufanya kampeni na kuuelimisha umma juu ya katiba hiyo haujafika na amewataka wananchi kuwa na subira ili kuepusha vurugu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Bado tunadanganywa kuna Katiba mpya?

“EWE Mwenyezi Mungu Mtukufu, Muumba Mbingu na Dunia, umeweka Mataifa katika Dunia, ili haki yako itendeke. Twakuomba uibariki Jamhuri ya Muungano wa Tanzania idumishe uhuru, umoja, haki na amani. Utujalie...

 

11 years ago

GPL

BADO TUNAYO NAFASI KUNUSURU KATIBA MPYA

NIANZE kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema kwa kila hatua ya maisha yangu, kwa sababu ninaamini kabisa, bila yeye, hakuna lolote ninaloweza kulifanya. Nichukue nafasi hii pia kukusisitiza Mtanzania mwenzangu, ni vyema tukaanza kujiandaa mapema kwa ajili ya makazi yetu ya baadaye, ambayo ni kutenda mema yanayompendeza Mungu, kwa imani uliyonayo, kwa sababu kuna maisha baada ya kifo. Aidha, niwape pia mkono wa Pasaka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wenye ulemavu bado wanahitaji mabadiliko rasimu ya Katiba mpya

HIVI karibuni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, aliwakabidhi rasimu ya pili ya Katiba mpya Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,...

 

10 years ago

Habarileo

Wasomi waguswa ‘zuio’ kampeni Katiba mpya

Rais Jakaya KikweteBAADHI ya wasomi nchini wamepongeza hotuba ya Rais Jakaya Kikwete inayosisitiza juu ya umuhimu wa wanasiasa kuacha kufanya kampeni zinazohusu Katiba Pendekezwa hadi muda wa kufanya hivyo utakapowadia kwa mujibu wa sheria.

 

9 years ago

Michuzi

KAMPENI ZA URAIS ZAANZA RASMI, TUME YATOA RATIBA ZA MAENEO NA MUDA WA KAMPENI


Tume ya Taifa ya uchaguzi inakutana na Kamati Maalumu inayo undwa na wajumbe kutoka vyama nane vilivyo na wagombea wa urais na makamo kuandaa Ratiba ya mikutano ya hadhara kurahisisha kubaini vyama vilivyopanga mkutano mmoja katika mkoa mmoja, wilaya moja, na Eneo moja kwa Tarehe mojaMkurugenzi wa NEC Kailima Ramadhani amesema anafarijika sana na ushirikiano wanaouonyesha Wawakilishi Wa vyama katika kuhakikisha mchakato kuwa wa Amani na utulivu bila kujali itikadi za vyama vyao kikao...

 

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO KATIBA MPYA: Kwa nini muda wa BVR hautoshi kwa Kura ya Maoni

>Kazi ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kwa kutumia Mfumo wa Biometric Voter Registration (BVR) imezunduliwa Februari 24 mwaka huu na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ambaye pamoja na mambo mengine, ameweka wazi kuwa mtu atakayeshindwa kujiandikisha, atakosa fursa ya piga kura ya maoni kwa ajili ya Katiba mpya.

 

11 years ago

GPL

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTAZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa jukwaa la katiba juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo.
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.…
...

 

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTIZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA


Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa JUKWAA LA KATIBA juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo. Picha na Cathert Kajuna wa Kajunason Blog
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Wajumbe wa JUKWAA LA KATIBA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani