Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HATUTARUHUSU VURUGU WAKATI WA KAMPENI KALENGA-NAPE

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Hofu ya vurugu yatanda jimbo la Kalenga

Zikiwa zimesalia siku 12 kabla ya uchaguzi mdogo wa ubunge wa Jimbo la Kalenga, zimeanza kuonekana dalili za vitendo vya uvunjifu wa amani baada ya vyama vikuu viwili vinavyokabana koo – CCM na Chadema kuanza kutuhumiana kwa vurugu.

 

11 years ago

Michuzi

WANANCHI MSIWE NA HOFU,HAKUTAKUWA NA VURUGU UCHAGUZI MDOGO WA JIMBO LA KALENGA-MKUU WA MKOA IRINGA

Mkuu wa mkoa wa iringa DK CHRISTIN ISHENGOMA amewataka wananchi mkoani  Iringa,kutokuwa na hofu katika kipindi hiki cha kuelekea kampeni za uchaguzi wa jimbo la kalenga.
Akizungumza leo  kwenye moja ya kituo cha redio mjini humo,Nuru FM ,kupitia kipindi cha sunrisepower, amesema kuwa tayari ameshakaa na kamati yake ya Ulinzi na Usalama akiwemo Kamanda wa Jeshi la Polisi,aidha ameongeza kuwa wamejiandaa kikamilifu katika ulinzi, hivyo wananchi wanapaswa kutokuwa na hofu.
Amesema kuwa...

 

10 years ago

GPL

VURUGU: NGUMI ZAPIGWA WAKATI WA MDAHALO WA KATIBA

Jaji Warioba. VURUGU zilizoambatana na ngumi kurushwa zimetokea hivi punde katika Ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam wakati aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba alipokuwa akitoa mada kwenye mdahalo wa kujadili umuhimu wa kuielewa kwa kina Katiba inayopendekezwa kama ilivyopitishwa na Bunge Maalum la Katiba. Vurugu hizo zimezuka baada ya watu waliokuwa na mabango kuvamia ukumbuni hapo na...

 

11 years ago

Habarileo

CCM yaridhishwa na kampeni za Kalenga

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Phillip Mangula amesema amejiridhisha na mwenendo wa kampeni za chama chake katika uchaguzi mdogo wa Kalenga.

 

11 years ago

Mwananchi

Dk Slaa azindua kampeni Kalenga

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbroad Slaa jana alizindua kampeni za kumnadi mgombea wa chama hicho katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Kalenga, Grace Tendega, huku akionya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuongezewa posho.

 

11 years ago

GPL

VURUGU UWANJANI: 15 WAPOTEZA MAISHA WAKATI WA MECHI DRC

Mojawapo ya vurugu zilizowahi kutokea uwanjani. Watu 15 wamepoteza maisha wakati 21 wakijeruhiwa baada ya vurugu kuibuka uwanjani mjini Kinshasa, DRC baada ya polisi kulipua mabomu ya machozi kwa mashabiki. Vurugu hizo ziliibuka wakati wa mechi kati ya ASV Club na Tout Puissant Mazembe.

 

9 years ago

Mwananchi

38 kizimbani kwa kufanya vurugu Mbagala wakati wa uchaguzi

Watu 38 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi  K isutu wakikabiliwa na mashtaka manne likiwamo la kutoa vitisho vya shinikizo kwa msimamizi  atoe matokeo ya Ubunge ya Mbagala bila ya kufuata utaratibu na  kuchoma maboxi 11 ya kupigia kura  na karatasi za kupigia kura zenye thamani ya Sh 2.2 milioni.

 

11 years ago

GPL

KAMPENI ZA CCM JIMBONI KALENGA LEO

Wananchi wakimshangilia mgombea wa CCM, katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa, alipohutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Sadani, Kata ya Mseke, leo Machi 9, 2014. Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Joyce Msambatavangu, akihutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji cha …

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani