Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Slaa azindua kampeni Kalenga

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbroad Slaa jana alizindua kampeni za kumnadi mgombea wa chama hicho katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Kalenga, Grace Tendega, huku akionya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuongezewa posho.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

CCM yaridhishwa na kampeni za Kalenga

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Phillip Mangula amesema amejiridhisha na mwenendo wa kampeni za chama chake katika uchaguzi mdogo wa Kalenga.

 

11 years ago

GPL

KAMPENI ZA CCM JIMBONI KALENGA LEO

Wananchi wakimshangilia mgombea wa CCM, katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa, alipohutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Sadani, Kata ya Mseke, leo Machi 9, 2014. Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Joyce Msambatavangu, akihutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji cha …

 

11 years ago

GPL

CHADEMA KATIKA KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA KALENGA

Mgombea wa Ubunge Jimbo la Kalenga (Chadema), Grace Tendega akipokelewa katika kijiji cha Lumuli, Iringa.
Heche akihutubia wananchi wa Lumuli .…

 

11 years ago

Michuzi

GODFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI TOSAMAGANGA NA KALENGA LEO

mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga kupitia tiketi ya CCM Ndugu Godfrey Mgimwa akinadi sera zake kwa wakazi wa kitongoji cha Tosamaganga wakati wa kampeni zake,zilizoendelea leo.  Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Jesca Msambatavangu akihutubia wakazi wa kitongoji cha Tosamaganga wakati wa kampeni za kumnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga kupitia tiketi ya CCM Ndugu Godfrey Mgimwa ambapo aliwaambia wananchi hao tutafute viongozi wa mfano wa Kitanzania ambao hawatatuchonganisha...

 

11 years ago

Michuzi

MWIGULU ALIVYOZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI ZA CCM KALENGA

 Abdul Adam, Mtoto wa Spika wa Bunge wa zamani Chifu Adamu Sapi Mkwawa, akimpongeza mgombea wa CCM katika Uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, Godfrey Mgimwa, wakati wa mkutano wa uzinduzi rasmi wa kampeni za CCM uliofanyika Viwanja vya Ifunda, Februari 27, 2014.  Wananchi wakinyoosha mikono kuunga mkono kuwa mgombea wa CCM anafaa, wakati wa mkutano wa uzinduzi rasmi wa kampeni za CCM uliofanyika Viwanja vya Ifunda, Februari 27, 2014.  Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara),...

 

11 years ago

Michuzi

CHADEMA WAENDELEA NA KAMPENI KALENGA,WATEMBELEA JAMII YA WAMASAI.

 Meneja Kampeni wa Chama cha Deokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga, Alphonse Mawazo, akicheza ngoma ya jamii ya kimasai baada ya kufanya kampeni ya nyumba kwa nyumba kumnadi mgombea ubunge wa chama hicho, Grace Tendega Mvanda.  Mgombea Ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kalenga, Grace Tendega Mvanda, akizungumza kuomba kura wakati chama hicho kilipofanya kampeni ya nyumba kwa nyumba na mtu kwa mtu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani