Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GODFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI TOSAMAGANGA NA KALENGA LEO

mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga kupitia tiketi ya CCM Ndugu Godfrey Mgimwa akinadi sera zake kwa wakazi wa kitongoji cha Tosamaganga wakati wa kampeni zake,zilizoendelea leo.  Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Jesca Msambatavangu akihutubia wakazi wa kitongoji cha Tosamaganga wakati wa kampeni za kumnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga kupitia tiketi ya CCM Ndugu Godfrey Mgimwa ambapo aliwaambia wananchi hao tutafute viongozi wa mfano wa Kitanzania ambao hawatatuchonganisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MGOMBEA UBUNGE GODFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI JIMBO LA KALENGA‏

Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga Kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kupiga ngoma ya asili ya Kihehe wakati alipowasili katika kijiji cha Kikombwe Kata ya Lwamgungwe katika jimbo la Kalenga Wilaya ya Iringa vijijini mkoani humo leo kwa ajili ya mkutano wa kampeni ambapo uchaguzi wa kuziba pengo la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Marehemu Dr. William Mgimwa utafanyika Machi 16 mwaka huu.… ...

 

11 years ago

GPL

GODFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI KATIKA VIJIJI VYA MIBIKIMITALI,MFUKULEMBE NA KIBENA‏

  Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Mibikimitali Kata ya Ifunda katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa leo ambapo amewaomba kumuamini na kumpa kura zote za ndiyo katika uchaguzi utaotarajiwa kufanyika jumapili machi 16 mwaka huu.…

 

11 years ago

Michuzi

Meya wa Ilala Jerry Silaa,Mwakalebela waishambulia vilivyo Kalenga,wampigia debe la nguvu mgombea ubunge jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa

Pichani shoto ni Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Ndugu,Jerry Silaa wakishangilia jambo kwa pamoja na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama cha CCM,Ndugu Godfrey William Mgimwa,katika mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika jana kwenye uwanja wa shule ya msingi Katenge katika kijiji cha Mgama,kata ya Mgama,Iringa Vijijini. Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Ndugu,Jerry Silaa pichani kulia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani