GODFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI KATIKA VIJIJI VYA MIBIKIMITALI,MFUKULEMBE NA KIBENA

 Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Mibikimitali Kata ya Ifunda katika jimbo la Kalenga mkoani Iringa leo ambapo amewaomba kumuamini na kumpa kura zote za ndiyo katika uchaguzi utaotarajiwa kufanyika jumapili machi 16 mwaka huu.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MGOMBEA UBUNGE GODFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI JIMBO LA KALENGA
Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga Kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kupiga ngoma ya asili ya Kihehe wakati alipowasili katika kijiji cha Kikombwe Kata ya Lwamgungwe katika jimbo la Kalenga Wilaya ya Iringa vijijini mkoani humo leo kwa ajili ya mkutano wa kampeni ambapo uchaguzi wa kuziba pengo la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Marehemu Dr. William Mgimwa utafanyika Machi 16 mwaka huu.… ...
11 years ago
Michuzi
GODFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI TOSAMAGANGA NA KALENGA LEO


10 years ago
GPLMBUNGE GODFREY MGIMWA ASEMA AMETUMIA ZAIDI YA TSH MILIONI 68 KWA MIENZI MITATU YA UBUNGE WAKE KUTEKELEZA AHADI 90 ZA MBUNGE WA KALENGA ALIYEFARIKI DUNIA DR WILIAM MGIMWA
Mbunge wa jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa (kulia) akikabidhi ahadi ya bati 100 alizokuwa ameziahidi mbunge aliyepita marehemu Dr. Wiliam Mgimwa kwa viongozi wa kijiji cha Mangalali kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya msingi Lukwambe hadi sasa ni asilimia 90 ya ahadi binafsi za mbunge aliyefariki zimetekelezwa jimbo la Kalenga na mbunge Mgimwa…
...
11 years ago
GPL
GODFREY MGIMWA AWAOMBA WANAKALENGA KUMKOPESHA IMANI, YEYE ATAWALIPA MAENDELEO KALENGA
Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika kijiji cha Ilandutwa kata ya Mgama Iringa vijijini akiendelea na mikutano mbalimbali ya kampeni ambapo amewaomba wananchi wa vijiji hivyo kumkopesha imani yao na kumpa kura za ndiyo siku ya Machi 16 Jumapili ijayo ili aweze kuwalipa maendeleo katika jimbo hilo.  Mgombea ubunge wa… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
19-February-2025 in Tanzania