Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMPENI ZA CCM JIMBONI KALENGA LEO

Wananchi wakimshangilia mgombea wa CCM, katika uchaguzi mdogo Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa, alipohutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Sadani, Kata ya Mseke, leo Machi 9, 2014. Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Joyce Msambatavangu, akihutubia mkutano wa kampeni katika Kijiji cha …

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

CCM YAFUNGA KAZI YA KAMPENI ZA UBUNGE JUMBONI KALENGA LEO

Wananchi wakiwa wamembeba kwa furaha mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, kwa tiketi ya CCM, Godfrey Mgimwa, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni uliofanywa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na kuhudhuria ma maelfu ya wananchi, kwenye Uwanja wa Mnada, Kijiji cha Kidamali, Kata ya Nzihi.  Picha na Bashir Nkoromo

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU WA MKUU WA CCM,KINANA AFUNGA KAMPENI KWA KISHINDO JIMBO LA KALENGA JIONI YA LEO

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akihutubia Wananchi wakati wa kufunga Kampeni za Uchaguzi wa jimbo la Kalenga jioni ya leo,katika kijiji cha Kidamali,kata ya Nzihi Iringa vijijini.  Mkutano wa kufunga kampeni ukiendelea kwenye kijiji cha Kidamali kata ya Nzihi jioni ya leo.  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama hicho,Ndugu Godfery Mgimwa,wakati wa mkutano wa kufunga kampeni katika jimbo la Kalenga,katika kijiji cha Kidamali kata...

 

11 years ago

Mwananchi

Wafuasi CCM wadaiwa kumpiga padri jimboni Kalenga

Padri wa Makanisa ya Orthodox katika Kijiji cha Nyamihuu, Kata ya Nzihi, jimboni Kalenga Constantino Mbilinyi (36) amepigwa na kujeruhiwa na watu wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa CCM.

 

11 years ago

Michuzi

KINANA ATUA KALENGA LEO,AMNADI MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KALENGA KWA KISHINDO

 Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana pichani kushoto na Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Mwigulu Nchemba wakimnadi mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia chama hicho cha CCM,Ndugu Godfreya Mgimwa,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za lala salama,uliofanyika leo jioni katika kijiji cha Magulilwa kata ya Magulilwa,Iringa vijijini.
Kinana amewataka wakazi wa Kalenga kumpigia kura za kutosha na hatimae kuibuka mshindi kwa maendeleo ya jimbo hilo,hapo siku ya jumapili ambapo...

 

11 years ago

Habarileo

CCM yaridhishwa na kampeni za Kalenga

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Phillip Mangula amesema amejiridhisha na mwenendo wa kampeni za chama chake katika uchaguzi mdogo wa Kalenga.

 

11 years ago

Michuzi

MWIGULU ALIVYOZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI ZA CCM KALENGA

 Abdul Adam, Mtoto wa Spika wa Bunge wa zamani Chifu Adamu Sapi Mkwawa, akimpongeza mgombea wa CCM katika Uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, Godfrey Mgimwa, wakati wa mkutano wa uzinduzi rasmi wa kampeni za CCM uliofanyika Viwanja vya Ifunda, Februari 27, 2014.  Wananchi wakinyoosha mikono kuunga mkono kuwa mgombea wa CCM anafaa, wakati wa mkutano wa uzinduzi rasmi wa kampeni za CCM uliofanyika Viwanja vya Ifunda, Februari 27, 2014.  Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara),...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani