Wafuasi CCM wadaiwa kumpiga padri jimboni Kalenga
Padri wa Makanisa ya Orthodox katika Kijiji cha Nyamihuu, Kata ya Nzihi, jimboni Kalenga Constantino Mbilinyi (36) amepigwa na kujeruhiwa na watu wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa CCM.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima07 Mar
CCM wadaiwa kumchapa padri Kalenga
KAMPENI za ubunge katika Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa zimeingia katika hatua mbaya baada ya Padri wa Kanisa la Orthodox katika Kijiji cha Nyamihuu, Kata ya Nzihi, jimboni humo Constantino...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pVOWqi0dq1-ecSKVVINiZzxpRCjMKQsPR0EVbYPm5wJsLY84Q5h9m7*-qcFaTpgHuynd0IqJYA8uLFkhoMTnDfBQS*0Ovbw-/21.WananchiwakimshangiliamgombeawaCCMMgimwakatikakijijichaMsekeKatayaMseke.jpg?width=650)
KAMPENI ZA CCM JIMBONI KALENGA LEO
11 years ago
Michuzi15 Mar
10 years ago
Mwananchi28 Aug
Polisi Ruvuma wadaiwa kumpiga risasi dereva
11 years ago
Tanzania Daima08 Mar
Msajili achunguza kipigo cha padri Kalenga
OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, imesema inachunguza tuhuma za kupigwa kwa Padri wa Kanisa la Orthodox, Parokia ya Mtakatifu Basil Mkuu, Constantino Mbilinyi, anayedaiwa kupigwa na wafuasi...
9 years ago
Habarileo29 Oct
Wafuasi Ukawa Temeke wadaiwa kuchoma ofisi
WATU wanaodaiwa kuwa wafuasi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wamechoma moto ofisi za Ofisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Temeke Mikoroshini kwa madai kuwa ofisa huyo amemtangaza mgombea udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abel Tarimo wakati hakushinda.
9 years ago
MichuziWAFUASI 60 WA CHADEMA AKIWEMO MGOMBEA UBUNGE MCHUNGAJI MSIGWA MATATANI KWA TUHUMA ZA KUMPIGA MAWE MKUU WA FFU NA WANANCHI WALIOKUWA WAKITOKA KUMSIKILIZA DR MAGUFULI .....
Na MatukiodaimaBlogJESHI la polisi kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) mkoani Iringa watumia mabomu ya machozi kuwakamata wafuasi zaidi ya 60 wa chama cha Demokrasia na maendeleo (chadema ) akiwemo mgombea ubunge wao jimbo la Iringa...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-phn5cg9cZ2w/UyM_WOGpi4I/AAAAAAACcdk/UaiQcfMn7gk/s72-c/6.jpg)
KINANA ATUA KALENGA LEO,AMNADI MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA KALENGA KWA KISHINDO
![](http://1.bp.blogspot.com/-phn5cg9cZ2w/UyM_WOGpi4I/AAAAAAACcdk/UaiQcfMn7gk/s1600/6.jpg)
Kinana amewataka wakazi wa Kalenga kumpigia kura za kutosha na hatimae kuibuka mshindi kwa maendeleo ya jimbo hilo,hapo siku ya jumapili ambapo...
11 years ago
Michuzi29 Jun
mbunge wa kalenga mhe godfrey mgimwa atembelea wapiga kura jimboni kwa baiskeli