Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafuasi Ukawa Temeke wadaiwa kuchoma ofisi

WATU wanaodaiwa kuwa wafuasi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wamechoma moto ofisi za Ofisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Temeke Mikoroshini kwa madai kuwa ofisa huyo amemtangaza mgombea udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abel Tarimo wakati hakushinda.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

CCM WALAANI WAFUASI WA UKAWA KUFANYA FUJO KWENYE OFISI ZAO TANGA

Mjumbe wa Kamati ya Kampeni ya CCM, January Makamba. Chama cha Mapinduzi kinasikitishwa na kitendo cha wafuasi wa vyama vinavyounda UKAWA kupiga mawe na kutupa chupa, baadhi zikiwa na mikojo, kwenye Ofisi ya CCM Mkoa wa Tanga jana, tarehe 28 Septemba 2015, kabla na baada ya mkutano wao wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Tangamano, Tanga Mjini. Kama ilivyo kawaida yetu miaka yote, CCM iliazimia kufanya kampeni za amani,...

 

11 years ago

GPL

DEREVA, UTINGO WADAIWA KUCHOMA MOTO GARI

Stori: Francis Godwin, Iringa
Kumbe! Siri imefichuka sababu ya malori ya mizigo na mafuta kuungua moto baada ya jeshi la polisi mkoani hapa kuwashikilia watu sita akiwemo dereva na utingo wa lori aina ya Scania, mali ya Kampuni ya Dandu wakidaiwa kuchoma moto lori hilo. Dereva na utingo wa lori aina ya Scania, mali ya Kampuni ya Dandu wakidaiwa kuchoma moto lori hilo. Ilidaiwa kwamba jamaa hao wakazi wa Mbeya walifanya hivyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Wanaodaiwa kuchoma ofisi ya Serikali kortini

Watuhumiwa 14 kati ya 106 waliokamatwa na Polisi mjini Moshi juzi kwa tuhuma za kuchoma ofisi ya Serikali ya kata jana walipandishwa kizimbani kujibu tuhuma hizo.

 

10 years ago

Mwananchi

100 watiwa mbaroni kwa kuchoma ofisi ya Serikali

Kundi la wananchi leo lilivamia ofisi ya Serikali ya kata ya Njoro,Manispaa ya Moshi, na kuichoma moto wakipinga matokeo yaliyompa ushindi mgombea udiwani wa Chadema, Jomba Koyi.

 

11 years ago

Mwananchi

Wafuasi CCM wadaiwa kumpiga padri jimboni Kalenga

Padri wa Makanisa ya Orthodox katika Kijiji cha Nyamihuu, Kata ya Nzihi, jimboni Kalenga Constantino Mbilinyi (36) amepigwa na kujeruhiwa na watu wanaodaiwa kuwa ni wafuasi wa CCM.

 

9 years ago

Habarileo

Lowassa: Wafuasi wa Ukawa tulieni

ALIYEKUWA mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuungwa mkono na umoja wa vyama vingine vitatu, Edward Lowassa, amewataka wafuasi na wanachama wa vyama hivyo kuendelea kuwa watulivu baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu.

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Polisi na Mahakama Kilwa watesa wafuasi wa UKAWA

VIJANA watano wafuasi wa UKAWA wilayani Kilwa kwa wiki tatu sasa wanasota mahabusu kwa sababu ya kunyimwa dhamana kutokana na tuhuma za kufanya kosa la uporaji kwa kutumia silaha. Vijana hao ni Rifati Mnakatu (Katibu Chadema Kata ya Mitole), Ali Matumla (Mwenyekiti CDM Kata ya Mitole), Fadhili Mbopo (CDM), Chande Hemedi Nyayo (CUF) na Omari Mkonda (CUF).Wengine walioshikiliwa ni Hassani Ukurwa

 

10 years ago

Mwananchi

Wafuasi Ukawa wachoma nyumba ya mwenezi CCM

Wafuasi wa Chadema juzi walichoma moto nyumba ya Katibu Mwenezi wa CCM Wilaya ya Lindi, Khalfani Mndanje kwa kile kilichoelezwa kuwagonga na kuwajeruhi watu wanane waliokuwa wakitoka kwenye kampeni za mgombea urais wao, Edward Lowassa.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wawatawanya wafuasi wa Ukawa kwa risasi Vunjo

Jeshi la Polisi, jana lililazimika kufyatua risasi za moto hewani ili kuwatawanya wafuasi wa Chadema na NCCR-Mageuzi waliokuwa wamekusanyika nje ya kituo cha Polisi cha Himo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani