Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaodaiwa kuchoma ofisi ya Serikali kortini

Watuhumiwa 14 kati ya 106 waliokamatwa na Polisi mjini Moshi juzi kwa tuhuma za kuchoma ofisi ya Serikali ya kata jana walipandishwa kizimbani kujibu tuhuma hizo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

100 watiwa mbaroni kwa kuchoma ofisi ya Serikali

Kundi la wananchi leo lilivamia ofisi ya Serikali ya kata ya Njoro,Manispaa ya Moshi, na kuichoma moto wakipinga matokeo yaliyompa ushindi mgombea udiwani wa Chadema, Jomba Koyi.

 

10 years ago

Mtanzania

Mbunge kortini akidaiwa kuchoma bendera ya CCM

joshNA JANETH MUSHI, ARUSHA,

MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema),
jana alifikishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Maji ya Chai wilayani Arumeru kwa tuhuma za uharibifu wa mali.

Mbele ya Hakimu wa Mahakama hiyo, David Mwita, ilidaiwa kuwa Mbunge huyo alitenda kosa hilo juzi jioni katika eneo la Maji ya Chai Kati, nje kidogo ya jiji la Arusha.

Ilidaiwa kuwa Nassari kwa makusudi alichoma bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokuwa na thamani ya Sh. 250,000, kitendo ambacho ni...

 

9 years ago

Habarileo

Wafuasi Ukawa Temeke wadaiwa kuchoma ofisi

WATU wanaodaiwa kuwa wafuasi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wamechoma moto ofisi za Ofisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Temeke Mikoroshini kwa madai kuwa ofisa huyo amemtangaza mgombea udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abel Tarimo wakati hakushinda.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Liyumba aibwaga Serikali kortini

HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemwachia huru aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba. Liyumba alikuwa akikabiliwa na kesi ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Lwakatare aibwaga serikali kortini

MKURUGENZI wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilfred Lwakatare, ameshinda rufaa ya maombi ya marejeo yaliyowasilishwa na Serikali kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania...

 

10 years ago

Vijimambo

HOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2015/2016

WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA  MIZENGO  PETER  PINDA
                                                                                               

UTANGULIZI


1.            Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na...

 

10 years ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI MKUU, MHESHIMIWA MIZENGO PETER PINDA (MB), KUHUSU MAPITIO NA MWELEKEO WA KAZI ZA SERIKALI NA MAKADIRIO YA MATUMIZI YA FEDHA YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA OFISI YA BUNGE KWA MWAKA 2015/2016

WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO  PETER  PINDA                                                                                         UTANGULIZI


1.            Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba kutokana na Taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lako Tukufu na Wenyeviti wa Kamati za Katiba, Sheria na Utawala; Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; Uchumi, Viwanda na Biashara na Kamati ya Masuala ya UKIMWI zilizochambua Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge lako sasa lipokee na kujadili Taarifa ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yapinga kortini Bunge la Katiba kusimamishwa

Serikali imewasilisha mahakamani pingamizi la kisheria dhidi ya maombi ya kusimamishwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma, kutokana na kesi ya kikatiba namba 28 ya mwaka 2014 iliyofunguliwa na mwanahabari, Said Kubenea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani