Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lwakatare aibwaga serikali kortini

MKURUGENZI wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilfred Lwakatare, ameshinda rufaa ya maombi ya marejeo yaliyowasilishwa na Serikali kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Liyumba aibwaga Serikali kortini

HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemwachia huru aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba. Liyumba alikuwa akikabiliwa na kesi ya...

 

9 years ago

Mtanzania

Mchungaji Lwakatare azuia hekalu lake kortini

lwakatareNa Kulwa Mzee, Dar es Salaam

MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Ardhi imezuia nyumba anayoishi Mchungaji wa Kanisa  la  Assemblies of God Mikocheni, Dk. Getrude Lwakatare kubomolewa.

Uamuzi huo wa mahakama ulitolewa juzi na Jaji John Mgeta, baada ya Wakili wa Lwakatare, Emmanuel Muga kuwasilisha maombi ya kupinga ubomoaji huo chini ya hati ya dharura.

Jaji Mgeta alizuia ubomoaji wa jengo hilo ama kuchukua hatua yoyote kuhusu jengo hilo lililopo Kawe Beach.

Muga aliwasilisha maombi akimwakilisha mdai...

 

10 years ago

Mwananchi

Lwakatare, DPP kuchuana upya kortini leo

Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare leo anatarajiwa kuchuana upya na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) wakati Mahakama ya Rufani itakaposikiliza maombi ya marejeo ya hukumu ya Mahakama Kuu iliyomfutia mashtaka ya ugaidi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kibanda aibwaga Serikali

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imemwachilia huru Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri nchini, Absalom Kibanda, na wenzake waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya kuandika na kuchapisha makala ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Komu aibwaga Serikali, wabunge Afrika Mashariki wakalia kuti kavu

kas_23063-1609-2-30_90

 Na Mwandishi wetu

ALIYEKUWA Mgombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, (EALA), kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema), Anthony Komu (pichani), ameibwaga Serikali kwenye kesi aliyoifungua Mahakama ya Afrika Mashariki, (EACJ), baada ya maombi yake mawili kukubaliwa huku moja likitupwa.

Mahakama hiyo, imesema kuwa kuwa  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilikiuka kipengele cha 50 (1) cha uanzishwa wa jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye uchaguzi uliofanyika Aprili...

 

10 years ago

Mwananchi

Lwakatare wa Chadema, Ludovick waibwaga Serikali mahakamani

Mahakama ya Rufani imetupilia mbali maombi ya marejeo kuhusu uhalali wa uamuzi wa Mahakama Kuu Dar es Salaam kuwafutia mashtaka ya ugaidi Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare na mwenzake Joseph Ludovick Rwezahura.

 

9 years ago

Mwananchi

Wanaodaiwa kuchoma ofisi ya Serikali kortini

Watuhumiwa 14 kati ya 106 waliokamatwa na Polisi mjini Moshi juzi kwa tuhuma za kuchoma ofisi ya Serikali ya kata jana walipandishwa kizimbani kujibu tuhuma hizo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ofisa wanyamapori kortini kwa nyara za serikali

OFISA Muhifadhi Wanyamapori Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, Rashidi Ndimbe, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kukutwa na nyara za serikali. Mbele...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yapinga kortini Bunge la Katiba kusimamishwa

Serikali imewasilisha mahakamani pingamizi la kisheria dhidi ya maombi ya kusimamishwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba vinavyoendelea mjini Dodoma, kutokana na kesi ya kikatiba namba 28 ya mwaka 2014 iliyofunguliwa na mwanahabari, Said Kubenea.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani