Lwakatare wa Chadema, Ludovick waibwaga Serikali mahakamani
Mahakama ya Rufani imetupilia mbali maombi ya marejeo kuhusu uhalali wa uamuzi wa Mahakama Kuu Dar es Salaam kuwafutia mashtaka ya ugaidi Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare na mwenzake Joseph Ludovick Rwezahura.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima27 Sep
CHADEMA waibwaga Serikali, wabunge wakalia kuti kavu
ALIYEKUWA Mgombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, (EALA), kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Anthony Komu, ameibwaga Serikali kwenye kesi aliyoifungua Mahakama ya Afrika Mashariki, (EACJ),...
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Lwakatare: Ludovick alinishawishi kuipenda siasa
UNAPOWAZUNGUMZIA wanasiasa wasimamizi wa mageuzi nchini, jina la Wilfred Muganyizi Lwakatare, huwezi kuliweka pembeni kwa kuwa ni mmoja wao. Lwakatare ambaye ameshika nafasi mbali mbali za uongozi katika vyama alivyovitumikia...
9 years ago
Mtanzania14 Aug
Mgeja, Guninita waibwaga CCM, wajiunga Chadema
Na Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja amesema chama hicho kimeacha misingi yake na sasa kimegeuka kuwa kampuni ya familia moja.
Mgeja pia amempiga kijembe mgombea urais kupitia CCM, Dk. John Magufuli akimfananisha na dereva ambaye hajaweza kuendesha gari vizuri ‘learner’ akimaanisha kuwa hana uwezo wa kukiongoza chama hicho.
Mgeja alitoa kauli hiyo Dar es Salaam jana alipotangaza kukihama chama hicho na kujiunga na Chama...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I3dypOdGvF24qOS1oIrETWRsFpwIJ-m8pCjA55zHHa5I3LUEf23Mi2epb*hS0zrcHdIP0vgImAe*dwJuwJpYfgSl0Bh8Vlge/utouh120.jpg)
MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI MSTAAFU LUDOVICK UTOAH AAGWA
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-R2u48nnfjRQ/VMd2qlr9JgI/AAAAAAACypQ/BAfrfsty-48/s72-c/utouh120.jpg)
MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI MSTAAFU LUDOVICK UTOAH AAGWA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-R2u48nnfjRQ/VMd2qlr9JgI/AAAAAAACypQ/BAfrfsty-48/s1600/utouh120.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-qw-Qbx5TFnw/VMd2rfr2zTI/AAAAAAACypU/DEOpnz5siAE/s1600/utouh9115.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-YmesXhWnzfk/VMd2r70rM8I/AAAAAAACypc/zvBGGotEFbY/s1600/utouh9117.jpg)
11 years ago
Habarileo11 Mar
Lwakatare wa Chadema aomba afutiwe mashitaka
KURUGENZI wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare ameiomba Mahakama kuamuru upande wa Jamhuri, kuharakisha upelelezi wa kesi hiyo au kufuta mashitaka dhidi yake.
9 years ago
MichuziWILFRED LWAKATARE WA CHADEMA AIBUKA KIDEDEA UBUNGE BUKOBA MJINI
9 years ago
VijimamboWILFRED LWAKATARE (CHADEMA) ATANGAZWA KUWA MBUNGE WA BUKOBA MJINI
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
Lwakatare aibwaga serikali kortini
MKURUGENZI wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilfred Lwakatare, ameshinda rufaa ya maombi ya marejeo yaliyowasilishwa na Serikali kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania...