Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lwakatare wa Chadema aomba afutiwe mashitaka

KURUGENZI wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare ameiomba Mahakama kuamuru upande wa Jamhuri, kuharakisha upelelezi wa kesi hiyo au kufuta mashitaka dhidi yake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Lwakatare aomba Jamhuri imrudishie simu zake

Wilfred LwakatareMKURUGENZI wa Ulinzi na Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare ameomba upande wa Jamhuri, kuharakisha upelelezi wa kesi inayomkabili na kumrudishia simu zake, zilizochukuliwa baada ya kukamatwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Lwakatare wa Chadema, Ludovick waibwaga Serikali mahakamani

Mahakama ya Rufani imetupilia mbali maombi ya marejeo kuhusu uhalali wa uamuzi wa Mahakama Kuu Dar es Salaam kuwafutia mashtaka ya ugaidi Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare na mwenzake Joseph Ludovick Rwezahura.

 

9 years ago

Michuzi

WILFRED LWAKATARE WA CHADEMA AIBUKA KIDEDEA UBUNGE BUKOBA MJINI


Hatimaye Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chama cha demokrasia na maendeleo -Chadema Bw. Wilfred Lwakatare ameibuka kidedea leo hii kuwa Mbunge wa Bukoba Mjini akiibuka kidedea dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kwa tiketi ya CCM, Khamis Kagasheki. Matokeo hayo yametanga usiku huu punde na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bukoba mjini Bw. Aron T. Kagurumjuli. Kura za Udiwani Chadema/ Ukawa imeshinda Kata zifuatazo: Kahororo, Kagondo, Kibeta, Kitendaguro, Nshambya, Hamugebe,...

 

9 years ago

Vijimambo

WILFRED LWAKATARE (CHADEMA) ATANGAZWA KUWA MBUNGE WA BUKOBA MJINI

Hatimaye Mkurugenzi wa ulinzi na usalama wa chama cha demokrasia na maendeleo -Chadema Bw. Wilfred Muganyizi Lwakatare ameibuka kidedea na kuwa Mbunge wa Bukoba Mjini dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini kwa tiketi ya CCM, Khamis Kagasheki. Matokeo hayo yalitangazwa usiku na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bukoba mjini Bw. Aron T. Kagurumjuli. Kura za Udiwani Chadema/ Ukawa imeshinda Kata zifuatazo: Kahororo, Kagondo, Kibeta, Kitendaguro, Nshambya, Hamugebe, Kashai, Bakoba na...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Rais akistaafu afutiwe kinga’

Wakati Bunge la Katiba likiwa bado halijaanza kujadili Rasimu ya Katiba, taasisi moja ya viongozi wa dini imetoa maoni mapya ikitaka Rais wa nchi awe tu na kinga anapokuwa madarakani, akiondoka awajibike kwa matendo yake.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Asomewa mashitaka wodini


NA LILIAN JOEL, ARUSHA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, jana ilihamia katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru, kwa ajili ya kusomewa mashitaka mtuhumiwa Abdulkarim Thabit Hasia anayedaiwa kufanya uwakala wa kusajili vijana kujiunga na kundi la Al Shabaab.
Hasia ambaye amelazwa katika hospitali hiyo kwa takriban miezi minne, ilikuwa asomewe mashitaka na kuunganishwa na wenzake, Mei mwaka huu lakini ilishindikana kutokana na kutokuwa na fahamu.
Mshitakiwa huyo alisomewa mashitaka hayo na Wakili wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Julius Melema kujibu mashitaka

Kiongozi wa upinzani nchini Afrika Kusini Julius Malema, anatarajiwa kufika mahakamani kujibu mashitaka ya ufisadi.

 

10 years ago

Habarileo

Kizimbani kwa mashitaka ya mauaji

WAKAZI wawili wa Dar es Salaam, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, wakikabiliwa na mshitaka ya mauaji. Washitakiwa hao ni Habibu Mohammed (28) ambaye hati ya mashitaka ilimtambulisha kuwa ni Dereva na Said Kassimu (29) ambaye ni mfanyabiashara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani