Julius Melema kujibu mashitaka
Kiongozi wa upinzani nchini Afrika Kusini Julius Malema, anatarajiwa kufika mahakamani kujibu mashitaka ya ufisadi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper03 Sep
Asomewa mashitaka wodini
NA LILIAN JOEL, ARUSHA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, jana ilihamia katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru, kwa ajili ya kusomewa mashitaka mtuhumiwa Abdulkarim Thabit Hasia anayedaiwa kufanya uwakala wa kusajili vijana kujiunga na kundi la Al Shabaab.
Hasia ambaye amelazwa katika hospitali hiyo kwa takriban miezi minne, ilikuwa asomewe mashitaka na kuunganishwa na wenzake, Mei mwaka huu lakini ilishindikana kutokana na kutokuwa na fahamu.
Mshitakiwa huyo alisomewa mashitaka hayo na Wakili wa...
10 years ago
Habarileo04 Sep
Kizimbani kwa mashitaka ya mauaji
WAKAZI wawili wa Dar es Salaam, wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, wakikabiliwa na mshitaka ya mauaji. Washitakiwa hao ni Habibu Mohammed (28) ambaye hati ya mashitaka ilimtambulisha kuwa ni Dereva na Said Kassimu (29) ambaye ni mfanyabiashara.
11 years ago
Habarileo17 Jul
Mashitaka wajichanganya, washitakiwa waachiwa
MAHAKAMA ya Hakimu Mfawidhi Mkoa wa Tabora umewaachia huru watuhumiwa sita waliokuwa wanashitakiwa kwa unyang'anyi wa kutumia silaha baada ya kuona ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka ukipingana wenyewe.
11 years ago
Habarileo17 Jul
Wafutiwa mashitaka, washitakiwa tena
OFISI ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini imewafutia mashitaka washitakiwa tisa wa kesi ya kukutwa na dawa za kulevya zenye thamani ya Sh milioni 149.7 na kisha kuwafungulia tena mashitaka hayo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
11 years ago
Habarileo04 Aug
Hakimu aamuru mashitaka yarekebishwe
HAKIMU Mkazi wa Mahakama ya Arusha, Mustapher Siyan ameamuaru upande wa Jamhuri kurekebisha kasoro zilizopo kwenye hati ya mashtaka ambayo inawakabili Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha, Profesa Johannes Monyo na wenzake saba.
11 years ago
BBCSwahili03 Mar
Oscar Pistorius akana mashitaka
10 years ago
Habarileo04 Sep
Asomewa mashitaka ya ugaidi hospitali
MTUHUMIWA wa ugaidi na anayedaiwa kufanya uwakala wa kusajili vijana kujiunga kundi la Al- Shabaab la Somalia, Abdulkarimu Thabiti Hasia, amesomewa mashitaka hospitalini jijini Arusha baada ya kupata fahamu.
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Mwendesha mashitaka auawa Uganda
11 years ago
Tanzania Daima24 May
Jaji atahadharisha waendesha mashitaka
WAENDESHA mashitaka wa mahakama, mawakili na wapelelezi wa makosa ya jinai, wameombwa kutumia taaluma zao kuwasidia wanawake na watoto. Ushauri huo ulitolewa na Jaji Peragia Khadai wa Mahakama Kuu ya...