Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA waibwaga Serikali, wabunge wakalia kuti kavu

ALIYEKUWA Mgombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, (EALA), kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Anthony Komu, ameibwaga Serikali kwenye kesi aliyoifungua Mahakama ya Afrika Mashariki, (EACJ),...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Komu aibwaga Serikali, wabunge Afrika Mashariki wakalia kuti kavu

kas_23063-1609-2-30_90

 Na Mwandishi wetu

ALIYEKUWA Mgombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, (EALA), kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema), Anthony Komu (pichani), ameibwaga Serikali kwenye kesi aliyoifungua Mahakama ya Afrika Mashariki, (EACJ), baada ya maombi yake mawili kukubaliwa huku moja likitupwa.

Mahakama hiyo, imesema kuwa kuwa  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilikiuka kipengele cha 50 (1) cha uanzishwa wa jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye uchaguzi uliofanyika Aprili...

 

9 years ago

Mwananchi

Nyota wa kigeni wakalia kuti kavu

Wakiwa wamebakiza miezi michache kwenye mikataba yao, baadhi ya wachezaji wa kigeni wanaocheza Ligi Kuu kuwapo kwao nchini,  kucheza soka ni bahati.

 

10 years ago

Habarileo

Wapindisha sheria Ardhi wakalia kuti kavu

Wiliam LukuviWAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewatahadharisha watendaji wanaorubuniwa na watu wenye fedha ili kupindisha sheria kwa lengo la kuwadhulumu wananchi ardhi zao.

 

10 years ago

Mwananchi

Viongozi Manyara, Kiteto wakalia kuti kavu

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali itafanya mabadiliko ya kiutawala katika ngazi mbalimbali Wilaya ya Kiteto na Mkoa wa Manyara wiki hii ili kuimarisha uongozi kukabiliana na mauaji ya wakulima na wafugaji yaliyosababisha vifo vya watu 17 tangu Januari 12 mwaka huu hadi sasa.

 

10 years ago

Mwananchi

Lwakatare wa Chadema, Ludovick waibwaga Serikali mahakamani

Mahakama ya Rufani imetupilia mbali maombi ya marejeo kuhusu uhalali wa uamuzi wa Mahakama Kuu Dar es Salaam kuwafutia mashtaka ya ugaidi Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Lwakatare na mwenzake Joseph Ludovick Rwezahura.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mkandarasi Muleba akalia kuti kavu


Na Julieth John, Muleba
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, kumsimamisha mkandarasi anayejenga miradi ya maji ya Kyota na Katoke kwa kushindwa kukamilisha kazi kwa muda uliopangwa.
Mradi huo wa maji ni miongoni mwa miradi inayotekelezwa kupitia mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).
Agizo hilo lilitolewa jana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera, Costansia Buhiye, wakati alipokuwa akikagua miradi hiyo ambayo ilitakiwa kukamilika  Oktoba, mwaka jana na Mei mwaka...

 

9 years ago

Mwananchi

Kerr akalia kuti kavu Simba

Siku za kocha Dylan Kerr meanza kuhesabika ndani ya Simba kutokana na mwenendo wa kusuasua wa timu hiyo katika Ligi Kuu Bara.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Diwani Kiwira akalia kuti kavu

DIWANI wa Kata ya Kiwira wilayani Rungwe Mbeya, Raulent Mwakalebule  (CHADEMA), amewekwa kiti moto na madiwani wa kambi ya upinzani baada ya kupingana na uamuzi wa Umoja wa Katiba ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbunge akalia kuti kavu Mbinga

Wafanyabiashara wilayani hapa, wametishia kutomchagua Mbunge wa Jimbo la Mbinga Mashariki, Gaudence Kayombo kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba kwa kile walichodai ameshindwa kuwatetea bungeni na badala yake ameunga mkono ongezeko la kodi la asilimia 100.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani