Viongozi Manyara, Kiteto wakalia kuti kavu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali itafanya mabadiliko ya kiutawala katika ngazi mbalimbali Wilaya ya Kiteto na Mkoa wa Manyara wiki hii ili kuimarisha uongozi kukabiliana na mauaji ya wakulima na wafugaji yaliyosababisha vifo vya watu 17 tangu Januari 12 mwaka huu hadi sasa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi27 Oct
Nyota wa kigeni wakalia kuti kavu
10 years ago
Habarileo12 Mar
Wapindisha sheria Ardhi wakalia kuti kavu
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewatahadharisha watendaji wanaorubuniwa na watu wenye fedha ili kupindisha sheria kwa lengo la kuwadhulumu wananchi ardhi zao.
10 years ago
Tanzania Daima27 Sep
CHADEMA waibwaga Serikali, wabunge wakalia kuti kavu
ALIYEKUWA Mgombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, (EALA), kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Anthony Komu, ameibwaga Serikali kwenye kesi aliyoifungua Mahakama ya Afrika Mashariki, (EACJ),...
10 years ago
Dewji Blog28 Sep
Komu aibwaga Serikali, wabunge Afrika Mashariki wakalia kuti kavu
Na Mwandishi wetu
ALIYEKUWA Mgombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki, (EALA), kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema), Anthony Komu (pichani), ameibwaga Serikali kwenye kesi aliyoifungua Mahakama ya Afrika Mashariki, (EACJ), baada ya maombi yake mawili kukubaliwa huku moja likitupwa.
Mahakama hiyo, imesema kuwa kuwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilikiuka kipengele cha 50 (1) cha uanzishwa wa jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye uchaguzi uliofanyika Aprili...
10 years ago
Uhuru Newspaper03 Sep
Mkandarasi Muleba akalia kuti kavu
Na Julieth John, Muleba
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, kumsimamisha mkandarasi anayejenga miradi ya maji ya Kyota na Katoke kwa kushindwa kukamilisha kazi kwa muda uliopangwa.
Mradi huo wa maji ni miongoni mwa miradi inayotekelezwa kupitia mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN).
Agizo hilo lilitolewa jana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera, Costansia Buhiye, wakati alipokuwa akikagua miradi hiyo ambayo ilitakiwa kukamilika Oktoba, mwaka jana na Mei mwaka...
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Mbunge akalia kuti kavu Mbinga
10 years ago
Tanzania Daima25 Oct
Diwani Kiwira akalia kuti kavu
DIWANI wa Kata ya Kiwira wilayani Rungwe Mbeya, Raulent Mwakalebule (CHADEMA), amewekwa kiti moto na madiwani wa kambi ya upinzani baada ya kupingana na uamuzi wa Umoja wa Katiba ya...
9 years ago
Mwananchi24 Oct
Kerr akalia kuti kavu Simba
10 years ago
Mwananchi10 Nov
KUFUZU AFCON 2015: Nigeria, Ivory Coast zakalia kuti kavu