Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DEREVA, UTINGO WADAIWA KUCHOMA MOTO GARI

Stori: Francis Godwin, Iringa
Kumbe! Siri imefichuka sababu ya malori ya mizigo na mafuta kuungua moto baada ya jeshi la polisi mkoani hapa kuwashikilia watu sita akiwemo dereva na utingo wa lori aina ya Scania, mali ya Kampuni ya Dandu wakidaiwa kuchoma moto lori hilo. Dereva na utingo wa lori aina ya Scania, mali ya Kampuni ya Dandu wakidaiwa kuchoma moto lori hilo. Ilidaiwa kwamba jamaa hao wakazi wa Mbeya walifanya hivyo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Wafuasi Ukawa Temeke wadaiwa kuchoma ofisi

WATU wanaodaiwa kuwa wafuasi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wamechoma moto ofisi za Ofisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Temeke Mikoroshini kwa madai kuwa ofisa huyo amemtangaza mgombea udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abel Tarimo wakati hakushinda.

 

11 years ago

Michuzi

MAJANGA TENA IRINGA: DEREVA NA UTINGO WAJIIBIA MALI WALIZOKUWA WAKISAFIRISHA KWENDA KONGO,WACHOMA LORI LILILOKUWA NA MZIGO HUO

Watuhumiwa wa  wizi wa mali  zilizokuwa  zikisafirishwa na lori la kampuni ya Dandu  Hili ndilo lori  lililokuwa na mali  hizo  chini kukiwa na ubichi wa mafuta  ya taa yaliyomwagwa ili  kulilipua lori hilo bila mafanikio  Mwonekano wa lori hilo kwa ndani baada ya mali zote  kuhamishwa  Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Afande Ramadhan Mungi akionesha  lori hilo mali ya kampuni ya Dandu ambalo limechomwa moto na dereva na utingo wake baada ya  kufaulisha mali zote kwa lengo la...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi Ruvuma wadaiwa kumpiga risasi dereva

Polisi Mkoa wa Ruvuma imeingia matatani baada ya askari wake kudaiwa kumpiga risasi dereva wa bodaboda, Sallgo Nduguru (22) na kumjeruhi kiganja na paja la mguu wa kushoto.

 

11 years ago

Michuzi

MTOTO AUA WAZAZI WAKE WAWILI NA KUCHOMA MOTO NYUMBA MKOANI KILIMANJARO

Na Dixon Busagaga,Hai. 

WANANDOA wawili wameuawa kinyama baada ya mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Yusuf Njau (32),  anayeaminika kuwa ni mtoto wa wanandoa hao, kuwacharanga kwa shoka kisha kuchoma moto nyumba  yao na kutokomea kusiko julikana.    Tukio hilo la kusikitisha na la aina yake limetokea juzi majira ya saa 12:30 jioni katika kijiji cha Masama-Roo,  Kata ya Machame Mashariki, wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro baada ya kijana huyo kuchukua uamuzi huo ambao unadhaniwa ni sababu...

 

11 years ago

Habarileo

Gari lamshinda dereva, lamuua

DEREVA wa lori, Said Bakari amekufa papo hapo na utingo wake kujeruhiwa vibaya baada ya gari alilokuwa akiendesha kumshinda na kuacha njia na kisha kupinduka.

 

11 years ago

Michuzi

DEREVA AJERUHIWA NA KUPORWA GARI LA MAFUTA

Dereva wa gari la mafuta lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Karatu Stefano John (42) akiwa amejeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi ambapo waliondoka na gari hilo aina ya Scania lenye namba za usajili T 116 BKQ na tela namba T 959 AVH likiwa na lita elfu 40,000 za mafuta aina ya petroli. (Picha na John Gagarini,Globu ya Jamii,Pwani)

 

11 years ago

BBCSwahili

Aokoa dereva kwa kukunja mlango wa gari

Mwanamume mmoja nchini Marekani alimuokoa dereva wa gari lililokuwa linateketea kwa kuukunja mlango wa gari hilo kwa mikono yake.

 

10 years ago

GPL

GARI LAPINDUKA WAKATI DEREVA AKIWAKIMBIA ASKARI POLISI

Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakiangalia kwa mshangao gari aina ya Toyota Spacio lenye namba za usajili T111 BHW likiwa limepinduka chini juu mbele ya ofisi za TFA barabara ya Boma, Moshi jirani kabisa na mnara wa saa.Dereva wa gari hilo anadaiwa alikuwa akijaribu kuwakimbia askari wa kikosi cha barabarani kwa mwendo wa kasi kabla ya kugonga gari jingine na hatimaye kupinduka hakuna aliepoteza maisha kwenye tukio hilo la...

 

11 years ago

GPL

BODABODA YAGONGANA NA GARI, DEREVA AVUNJIKA MGUU MORO

Dereva bodaboda na pikipiki yake baada ya kugongana na gari. Wasamaria wema wakimbeba dereva bodaboda kumpeleka kwenye gari. Gari aina ya…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani