Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DEREVA AJERUHIWA NA KUPORWA GARI LA MAFUTA

Dereva wa gari la mafuta lililokuwa likitoka Dar es Salaam kwenda Karatu Stefano John (42) akiwa amejeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili wake na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi ambapo waliondoka na gari hilo aina ya Scania lenye namba za usajili T 116 BKQ na tela namba T 959 AVH likiwa na lita elfu 40,000 za mafuta aina ya petroli. (Picha na John Gagarini,Globu ya Jamii,Pwani)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Dereva lori la mafuta afa ajalini

DEREVA wa gari la mafuta Ally Ngoma (62) amefariki dunia baada ya gari alilokuwa akiendesha kugongana na basi dogo la abiria.

 

11 years ago

Habarileo

Gari lamshinda dereva, lamuua

DEREVA wa lori, Said Bakari amekufa papo hapo na utingo wake kujeruhiwa vibaya baada ya gari alilokuwa akiendesha kumshinda na kuacha njia na kisha kupinduka.

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI YA MIKESE ILIYOUA DEREVA WA LORI LA MAFUTA

Lori la mafuta baada ya kuteketea kwa moto kijiji cha Fulwe, wilayani Mikese mkoani Morogoro. Lori la mafuta na semitrela vikiteketea kwa moto baada ya ajali.…

 

11 years ago

GPL

DEREVA, UTINGO WADAIWA KUCHOMA MOTO GARI

Stori: Francis Godwin, Iringa
Kumbe! Siri imefichuka sababu ya malori ya mizigo na mafuta kuungua moto baada ya jeshi la polisi mkoani hapa kuwashikilia watu sita akiwemo dereva na utingo wa lori aina ya Scania, mali ya Kampuni ya Dandu wakidaiwa kuchoma moto lori hilo. Dereva na utingo wa lori aina ya Scania, mali ya Kampuni ya Dandu wakidaiwa kuchoma moto lori hilo. Ilidaiwa kwamba jamaa hao wakazi wa Mbeya walifanya hivyo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Aokoa dereva kwa kukunja mlango wa gari

Mwanamume mmoja nchini Marekani alimuokoa dereva wa gari lililokuwa linateketea kwa kuukunja mlango wa gari hilo kwa mikono yake.

 

11 years ago

Mwananchi

Dereva aporwa lori la mafuta akiwa kwenye foleni mizani

Watu watano wasiofahamika wanaodhaniwa ni wezi, wamemvamia dereva wa lori la mafuta, Stephano John eneo la Kibamba, Barabara Kuu ya Dar es Salaam -Morogoro alipokuwa katika foleni na kisha kumpiga, kumjeruhi sehemu kadhaa za mwili, kumfunga kamba na kumtupa mtaroni.

 

10 years ago

Michuzi

LORI LA MAFUTA LATEMBEA BILA YA DEREVA MJINI MOSHI LEO

Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakiashangaa lori la mafuta lilotembea bila ya kuwa na dereva likitoka kituo cha mafuta cha Puma lilipokuwa limepaki kwa ajili ya kushusha mafuta.tukio hilo limetokea mchana wa leo mjini Moshi jirani na ofisi za TTCL.Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa lori hilo baada ya kukata kona ya ghafla ambayo ilisaidia madhara zaidi yasitokee baada ya tanki kukata na kurudi upande wa barabarani na kisha kusimama.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

GPL

GARI LAPINDUKA WAKATI DEREVA AKIWAKIMBIA ASKARI POLISI

Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakiangalia kwa mshangao gari aina ya Toyota Spacio lenye namba za usajili T111 BHW likiwa limepinduka chini juu mbele ya ofisi za TFA barabara ya Boma, Moshi jirani kabisa na mnara wa saa.Dereva wa gari hilo anadaiwa alikuwa akijaribu kuwakimbia askari wa kikosi cha barabarani kwa mwendo wa kasi kabla ya kugonga gari jingine na hatimaye kupinduka hakuna aliepoteza maisha kwenye tukio hilo la...

 

11 years ago

GPL

BODABODA YAGONGANA NA GARI, DEREVA AVUNJIKA MGUU MORO

Dereva bodaboda na pikipiki yake baada ya kugongana na gari. Wasamaria wema wakimbeba dereva bodaboda kumpeleka kwenye gari. Gari aina ya…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani