Polisi na Mahakama Kilwa watesa wafuasi wa UKAWA
![](http://3.bp.blogspot.com/-HV0pHIzBciQ/VkZpCM7UUFI/AAAAAAAAXF8/tVjHik9dcio/s72-c/Mangua-620x308.jpg)
VIJANA watano wafuasi wa UKAWA wilayani Kilwa kwa wiki tatu sasa wanasota mahabusu kwa sababu ya kunyimwa dhamana kutokana na tuhuma za kufanya kosa la uporaji kwa kutumia silaha. Vijana hao ni Rifati Mnakatu (Katibu Chadema Kata ya Mitole), Ali Matumla (Mwenyekiti CDM Kata ya Mitole), Fadhili Mbopo (CDM), Chande Hemedi Nyayo (CUF) na Omari Mkonda (CUF).Wengine walioshikiliwa ni Hassani Ukurwa
CHADEMA Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Polisi wawatawanya wafuasi wa Ukawa kwa risasi Vunjo
10 years ago
Mtanzania16 Dec
Ni mtikisiko * Ukawa watesa miji mikubwa, ngome za CCM * Lowassa atamba
Na Waandishi Wetu, Dar na mikoani,
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetikiswa na vyama vinavyounda Umoja ya Katiba ya Wananchi (Ukawa) kwenye matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji.
Katika uchaguzi huo uliofanyika nchini juzi, matokeo yanaonyesha kupanda kwa vyama vya upinzani hasa kwa kushinda maeneo yaliyokuwa yakiongozwa na CCM hali iliyokitikisa vilivyo chama hicho tawala.
Kutangazwa huko kwa matokeo hayo kunakuja baada ya kukamilika kwa uchaguzi huo katika baadhi ya...
10 years ago
Dewji Blog25 Sep
Mahakama ya Kisutu yawaacha wafuasi wa Chadema
Mmoja wa wanachama wa Chadema, Kamugisha Ngaiza, alivyowekwa chini ya ulinzi na polisi hivi karibuni.
Na Mwandishi wetu
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imewaachia huru kwa dhamana washitakiwa watatu wenye kesi namba173 ya mwaka 2014, kwa kosa la kumsindikiza Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Makao Mkuu ya Polisi.
Washitakiwa hao ni Ngaiza Kamugisha ambaye ni mfuasi wa chama hicho, Katibu wa BAVICHA Temeke, Benito Mwapinga na Elisante Bagenyi ambae ni mfuasi wa chama...
11 years ago
GPL06 Jan
9 years ago
Habarileo16 Nov
Lowassa: Wafuasi wa Ukawa tulieni
ALIYEKUWA mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuungwa mkono na umoja wa vyama vingine vitatu, Edward Lowassa, amewataka wafuasi na wanachama wa vyama hivyo kuendelea kuwa watulivu baada ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu.
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-4kkKAzEXum4/Vgq-i_X1ENI/AAAAAAABhSk/788WB_FKtBg/s72-c/DUNI_2.jpg)
MGOMBEA MWENZA WA UKAWA KUPITIA CHADEMA AFANYA MIKUTANO KILWA KUSINI
![](http://3.bp.blogspot.com/-4kkKAzEXum4/Vgq-i_X1ENI/AAAAAAABhSk/788WB_FKtBg/s640/DUNI_2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-iXWjbY6i3Vg/Vgq-jcYSAfI/AAAAAAABhSo/gjdCftDEPGs/s640/KADI.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-MbNo-vjv9lA/Vgq-jWJpCrI/AAAAAAABhS4/FD0bvoRbprI/s640/KADI_2.jpg)
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Wafuasi Ukawa wachoma nyumba ya mwenezi CCM
9 years ago
Habarileo29 Oct
Wafuasi Ukawa Temeke wadaiwa kuchoma ofisi
WATU wanaodaiwa kuwa wafuasi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wamechoma moto ofisi za Ofisa Mtendaji wa Kata ya Sandali, Temeke Mikoroshini kwa madai kuwa ofisa huyo amemtangaza mgombea udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abel Tarimo wakati hakushinda.
9 years ago
Mwananchi03 Nov
Polisi wazuia maandamano ya wafuasi wa Chadema