Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Stars yapata makali kuiua Nigeria J’mosi

TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro chini ya Kocha wake Mkuu Charles Boniface Mkwasa imekamilisha kambi nchini Uturuki na inatarajia kurejea leo nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Makali ya mvua Dar kupungua kuanzia J’mosi

Mkuu wa Huduma za Hali ya Hewa kwa jamii wa TMA,  Hellen MsemoMAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mvua za mfululizo zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zitaendelea kunyesha na kwamba zinatarajia kupungua mwishoni mwa wiki hii.

 

9 years ago

Habarileo

‘Maguri ataisaidia Stars kuiua Algeria’

KOCHA Msaidizi wa Stand United, Athuman Bilali ‘Billo’ amesema Elias Maguri anaweza kuifunga Algeria endapo kocha Boniface Mkwasa atamtumia.

 

10 years ago

Mtanzania

Nyota Chelsea atumia dakika 9 kuiua Stars

pICHANA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
NYOTA wa Chelsea anayecheza kwa mkopo Fiorentina, Mohamed Salah, alitumia dakika tisa juzi usiku kuiongoza timu yake ya Taifa ya Misri kuiua Taifa Stars mabao 3-0.
Stars iliweza kuhimili vishindo vya Misri kwa takribani dakika 60 za mwanzo za mchezo huo wa Kundi G, kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2017 nchini Gabon.
Lakini Salah, aliyekuwa nyota wa mchezo huo, aliweza kupiga kona safi dakika ya 60 iliyozaa bao la kwanza lililofungwa na...

 

9 years ago

Mwananchi

Nyota watatu kuiua Nigeria watajwa

Wakati timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ ikijiandaa kuikabili Nigeria, wachezaji watatu au wanne wameonekana ndiyo watakaoamua mechi hiyo mapema endapo watacheza katika ubora wao. Wachezaji hao, Mbwana Samatta, John Bocco na Thomas Ulimwengu ndiyo pekee wameshikilia mkononi roho za Watanzania ili kuhakikisha wanaipa ushindi wa mapema Stars.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malawi watua kuiongezea makali Stars

WAKATI timu ya Taifa ya Malawi ‘The Flames’ ikiwasili jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Tanzania ‘Taifa Stars’, kiingilio cha chini cha mechi...

 

11 years ago

Mtanzania

Stars yaenda Afrika Kusini kusaka makali

Timu ya Taifa, Taifa Stars

Timu ya Taifa, Taifa Stars

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, imeondoka jana kuelekea Afrika Kusini kujiandaa na mchezo wake wa marudiano dhidi ya Msumbiji, utakaochezwa Agosti 3 katika Uwanja wa Zimpeto, mjini Maputo.

Stars imeondoka huku ikiahidi ushindi kwa Watanzania katika mchezo huo wa kusaka kucheza hatua ya makundi ya michuano ya Afrika, itakayofanyika mwakani nchini Morocco.

Awali Stars ilitoka sare ya 2-2 na Msumbiji katika mchezo wake wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

The Stars Band kuzinduliwa rasmi Eid Mosi ndani ya Mzalendo Pub

IMG-20150715-WA0008

Na Andrew Chale, Modewjiblog

Bendi mpya  ya muziki wa dansi ijulikanayo kama The Stars Band iliyo chini ya Anneth Kushaba inatarajiwa kuzinduliwa rasmi Jumamosi ya Julai 18, siku ya Idd-Mosi ndani ya kiota cha Mzalendo Pub, Kijitonyama jijini Dar es Salaam huku ikitarajiwa kusindikizwa na mwanamuziki Barnabas pamoja na bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’

Kiongozi wa Stars Band, Kushaba anasema kuwa, tayari wapo katika mazoezi mbalimbali na ‘crew’ nzima ya bendi hiyo ambayo inaunganisha...

 

11 years ago

Mwananchi

Taifa Stars yapata sare Namibia

>Pamoja na kusafiri na kikosi cha wachezaji 15, timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ilifanikiwa kutoka sare ya 1-1 na Namibia katika mechi ya kimataifa ya kirafiki iliyochezwa kwenye Uwanja wa Sam Nujoma, Windhoek.

 

10 years ago

BBCSwahili

Taifa Stars yapata kocha mpya

Charles Boniface Mkwasa kocha mpya wa timu ya Taifa ya Tanzania akisaidiwa na Hemed Moroco

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani