TEKU yatimua watatu
Na Solomon wansele, mbeya WAFANYAKAZI watatu wa Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (TEKU), kilichopo jijini Mbeya, wakiwemo wahasibu, wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za upotevu wa zaidi ya sh. milioni 300, mali ya chuo hicho.Upotevu huo umebainika kutokana na ukaguzi wa hesabu za chuo hicho kwa kipindi cha mwaka 2012/2013.Hata hivyo, taarifa zinaeleza kuwa upotevu wa fedha unaweza kuwa zaidi ya sh. Milioni 300 kwa...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi27 Oct
Simba yaanza timuatimua, yatimua nyota watatu kambini
10 years ago
CloudsFM27 Nov
MTUHUMIWAWA MAUAJI YA MWANAFUNZI WA TEKU AHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA.
ASKARImmoja kati ya watatu waliokuwa wakituhumiwa kwa mauaji kwa aliyekuwa mwanafunziwa Chuo kikuu TEKU, amehukumiwa kunyongwa hadi kufa huku wenzie wakiachiwahuru.
Hukumuhiyo ilitolewa katika Mahakama kuu kanda ya Mbeya na Jaji Rose Temba baada yakuridhishwa na ushahidi wa pande zote mbili uliotolewa mahakamani hapo kwanyakati tofauti.
Mwendeshamashtaka wa Serikali, Archiles Mulisa akisaidiwa na Catherine Paul aliwatajawashtakiwa kuwa aliyehukumiwa ni Askari polisi F5842DC Maduhu na...
10 years ago
Habarileo26 Sep
UDA yatimua madereva 42
SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA) limewafukuza kazi madereva wake 42 kwa makosa mbalimbali, yakiwemo utovu wa nidhamu. Makosa mengine yaliyosababisha wafukuzwe kazi ni, kuvunja sheria za barabarani kwa makusudi, kukatisha njia kinyume cha taratibu na kutoza nauli zisizo rasmi tofauti na zilizopo kwenye tiketi.
10 years ago
Habarileo02 Feb
Rushwa yatimua 400 mizani
WAZIRI wa Ujenzi Dk John Magufuli amevitaka vyombo vya dola kuingilia kati suala la rushwa kwenye vituo vya mizani za kupimia uzito wa magari yanayosafirisha mizigo, akisema rushwa hiyo imekithiri.
11 years ago
Mwananchi01 Jan
Yanga yatimua benchi la ufundi
9 years ago
Mwananchi07 Dec
Tanesco yatimua mameneja saba
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
Bagamoyo Historical Marathon yatimua vumbi!
Wakimbiaji wakitimua vumbi katika mashindano ya Bagamoyo Historical Marathon, mjini Bagamoyo, Pwani. Mashindano hayo yaliandaliwa na Kampuni ya 4Beli.
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda (katikati) akihutubia wakati akifungua mashindano ya Bagamoyo Marathon mjini Bagamoyo.
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo wa Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Juliana Yassoda (katikati) akimpongeza...
11 years ago
Habarileo27 Jul
Manispaa K’ndoni yatimua kazi watumishi wake 9
HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni imewafukuza kazi watumishi tisa wa idara mbalimbali kutokana na makosa ya utoro kazini pamoja na matumizi mabaya ya madaraka ya ofisi.
11 years ago
Tanzania Daima28 Apr
UVCCM Sengerema yatimua viongozi kwa ubadhirifu
BARAZA la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Sengerema, Mkoa Mwanza, limemvua madaraka Mwenyekiti wa umoja huo wilayani hapa, Robert Madaha. Mbali na Madaha, ambaye pia...