UVCCM Sengerema yatimua viongozi kwa ubadhirifu
BARAZA la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Sengerema, Mkoa Mwanza, limemvua madaraka Mwenyekiti wa umoja huo wilayani hapa, Robert Madaha. Mbali na Madaha, ambaye pia...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog29 Dec
Ubadhirifu wa fedha na rasilimali wapungua vijijini kwa viongozi kuhofia kuchukuliwa hatua na wakazi wa maeneo hayo
Waraghbishi toka vijiji vya Iponya, Nyakasumula, Bukandwe na Shenda wakiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti na mtendaji wa kijiji cha Shenda.
Ni miaka mitatu na miezi nane toka mraghbishi Fedson Yaida na wenzake toka vijiji vya jirani kukutana na Chukua Hatua. Ni rafiki waliyekutana naye mwaka 2011 katika mazungumzo maalumu ambayo walitakiwa kuyafikisha kwa wananchi wenzao wa vijiji vya Shenda, Iponya, Nyakasumula na Bukandwe katika wilaya ya Mbogwe mkoani Geita.
Ni katika mazungumzo...
10 years ago
Dewji Blog25 Sep
Jumuiya ya umoja wa vijana (UVCCM) yawaonya viongozi CCM mkoa kuacha kuwagawa vijana kwa maslahi yao
Katibu Mkuu wa UVCCM Wilaya ya Mkalama Florian Panga akizungumza kwenye kikao hicho.
Na Hillary Shoo, MKALAMA.
JUMUIYA ya Umoja wa Vijana (UVCCM) imewataka viongozi mbalimbali wa CCM Mkoa wa Singida kuacha kuwagawa vijana kwa maslahi yao binafsi kwani kufanya hivyo ni kuleta mpasuko na makundi miongoni mwao.
Changamoto hiyo imetolewa Wilayani hapa na Katibu Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Singida, Ramadhani Kapeto wakati akifunga kambi ya vijana wa Wilaya ya Mkalama ya siku saba kwenye shule ya...
11 years ago
Tanzania Daima02 Feb
Makonda awatia ganzi viongozi UVCCM
HATIMA ya Paul Makonda kuhusu kauli aliyoitoa dhidi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa, itajulikana baada ya kumalizika kwa maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi...
9 years ago
Habarileo04 Jan
15 kushitakiwa kwa ubadhirifu
JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inakusudia kuwafikisha wakuu wa shule zake 15 kwenye vyombo vya sheria kutokana na madai ya ubadhirifu wa fedha.
11 years ago
Tanzania Daima04 May
Wafunga ofisi ya serikali kwa ubadhirifu
TUHUMA za ubadhirifu na uporaji wa ardhi zinazowakabili baadhi ya watendaji wa halmashauri na kijiji, zimewasukuma wananchi wa Kijiji cha Bugulula, Kata ya Bugulula wilayani Geita kufunga ofisi ya serikali...
9 years ago
Habarileo14 Aug
Wakataa uongozi wa kijiji kwa ubadhirifu
WANANCHI wa kijiji cha Igogo, kata ya Nanga, wilaya ya Igunga mkoani Tabora wamemkataa Ofisa Mtendaji pamoja na baadhi ya wajumbe wa serikali ya kijiji kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha.
9 years ago
Mtanzania13 Nov
Watumishi wasimamishwa kwa ubadhirifu wa mamilioni
Na Upendo Mosha, Hai
SERIKALI imewasimamisha kazi watumishi wanne wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai kwa muda usiojulikana kwa tuhuma za ubadhirifu wa zaidi ya Sh milioni 70.
Vilevile imemfukuza kazi mhasibu mmoja wa Hospitali Teule ya Machame kwa tuhuma hizo hizo.
Mkuu wa Wilaya ya Hai, Antony Mtaka, alisema jana kuwa watumishi hao wamesimamishwa kazi baada ya kuthibitika kufanya ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma.
Alisema wawili kati yao ni maofisa wa halmashauri hiyo ambao wanadaiwa...
10 years ago
Mtanzania09 May
Vigogo wawili jela kwa ubadhirifu
Na Mwandishi Wetu, Nachingwea
MAHAKAMA ya Wilaya ya Nachingwea mbele ya Hakimu Mfawidhi Joseph Hemela, imewatia hatiani washtakiwa wote wawili katika kesi ya ufujaji na ubadhirifu wa Sh 13,395,800 za wanachama wa Chama cha Ushirika cha Naipanga katika kesi namba CC 66/2013 iliyofunguliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mwaka 2013.
Hukumu hiyo inahusisha ununuzi hewa wa korosho katika msimu wa mwaka 2010/2011 dhidi ya washtakiwa hao waliokuwa watia saini benki katika...